Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yah it is very tough game my friend.....! Na huyu Mzee Ancelotti hataki Mchezo kabisa....!

Ila mkuu msimu huu mko vibaya aisee...! Nawapa pole ndugu zangu, maana Hali inakatisha tamaa...

Ngoja tuone mkuu Leo mtatoka vipi...!

Aisee dah
Kweli tuko ovyo mpaka sasa!!!ila nitafurahi kama tukifufukia darajani weekend.....ha ha ha hah
 
leo liverpool wanafanya 'DAMAGE LIMITATION'............

cc: MosDef Mr. Wise Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Aisee dah
Kweli tuko ovyo mpaka sasa!!!ila nitafurahi kama tukifufukia darajani weekend.....ha ha ha hah

Tunakuja kwenu mkuu weekend hii.. Kwahiyo nyie komaeni tu..! Lkn kwa Mimi ninavyofahamu mkijitahidi sn hiyo siku Labda mtapata draw Lkn kutufunga hiyo ni ngumu....!
 
Ha ha ha ha ha niambie aiseee, upo!!Naona mnakaa sawa sema mmeamka wakati mna fixture ngumu. Dah Bora yenu, uku kwetu Mwl. ananitia wazimu na upangaji wake usio na frst eleven,

mimi wala sina pressure....naijua timu yangu,nikiingia top four ni big bonus ingawa tumeanza kuonyesha uhai kidogo
 
mimi wala sina pressure....naijua timu yangu,nikiingia top four ni big bonus ingawa tumeanza kuonyesha uhai kidogo

Kama ni ugonjwa naona kama nyinyi mna kaji unafuu, team yenu in ka fighting spirit. Kwetu sasa dah kama mgomo baridi
 
Mpira nao una maajabu yake mara tumemkalisha Madrid mbele ya Santiago bernabeu......... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizi pesa alizotumia "The carefully chosen one" kwa hii misimu yake mi3, angepewa Rafa angefanya transfers za maana sana.

Nimepoteza mapenzi kwa timu niipendayo kwa ajili ya huyu EGOISTIC Manager
 
Kama ni ugonjwa naona kama nyinyi mna kaji unafuu, team yenu in ka fighting spirit. Kwetu sasa dah kama mgomo baridi

Yah ni kweli mkuu..... Man Utd wako na nafuu sn kuliko LFC...!
 
line up 1 simon magnolet ,kolo toure ,alberto Moreno ,javi manquillo,martin skrtel ,adam lalana,lucas,emre can,joe allan,lazar markovic na Fabio borin
 
Mignolet,Moreno,Skirtel,Toure,Manquillo,Lucas,Allen,Can,Lallana,Borini,Markovic. Naona BR kaamua kumeza bomu!(ukimeza bomu unakuwa na options mbili,either ulinye,au likulipukie!) hahahahahahaha!
 
Ndoto nyingine ni ngumu sana, nimeota game ya leo tunapata matokeo mazuri. Game yenyewe hatuna cha kupoteza inabidi wapigane kiume.
Wachezaji ambao huwa sipendi kuwaona kwenye 1st 11 BR kawa drop, kwa hili kwa matokeo yoyote sitakuwa na excuse hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…