Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona mkuu Ntuzu umejenga kambi anifield..karibu sana.. L0eo saa saba kasoro usiku tutafutane nikukumbushe kya mpira sio hali ya hewa kwamba unaweza kuutabiri.

Asante an mkuu Jaslaws umepotea an mkuu!!!!!

Mi nipo ktk Nyumba yenu mpk tarehe 8 baada ya game yetu...!
 
Last edited by a moderator:
nackia harufu ya idadi y magoli ya basket ........poor looser fools

Grand PA
 
r&c.jpg​
 
Ukiacha msimu huu Manchester united sio biggest spender kabisa kwenye issue za transfers, na wamefanya vizuri sana kwenye ligi kuu, Arsenal na wenyewe sio watumiaji wazuri na wanafanya vizuri ukilinganisha na Liverpool kwa miaka mitano iliyopita. Kumbuka kuna timu hazitumii sana fedha na zinafanya vizuri ( A. Madrid, Borrusia D, Arsenal)
Soma hii link (Ingawa inaweza ikawa sio credible sana) ya transfer fees kwa miaka mitano iliyopita af uje unipe hilo darasa na uniambie ubahili wa FSG upo wapi, ulinganishe na ule wa akina Thom Hicks na kipindi gani cha utawala wa hao matajiri timu ilikuwa inafanya vizuri.

Newcastle_United_Spending_Last_5_years.png

League Table of Premier League Spending Over 5 Years, Where Do NUFC Come? | NUFC The Mag

Hapo hakuna news. Bado nahitaji unitafutue transfer fees na players salaries za 80's.

By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?
 
By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?
Zilinganishe na Liver na sio timu nyingine kwa miaka mitano iliyopita, kushiriki tu UEFA kwa timu ni moja ya mafanikio, Niambie hii Liver kwa miaka mitano iliyopita imeshiriki mara ngapi af Linganisha na hizo timu. Soma vizuri post yako ya kwanza ulisema wakina Henry ni wabahili hawajafanya investment ya kutosha (Labda sijakuelewa investment gani unazozizungumzia wewe ambazo hawajafanya), By the way kama umeona naleta ubishi, basi nimeacha huo ubishi nipe sasa hilo darasa ulilotaka kunipa.
 
Na Mimi niko tayari kwa sherehe ya magoli....!

Uko pouwa Lkn mkuu?

Ha ha ha ha ha Ntunzu nipo, Nataka nishinde kesho mseme nimebahatisha!!!Moja linatosha......Its a tough game dah
 
Hapo hakuna news. Bado nahitaji unitafutue transfer fees na players salaries za 80's.

By the way, usitake kuleta ubishi usio na tija.... Dortmund na Arsenal zinafanya vizuri?

mh.... we mbishi

kwikwikwi
 
Ha ha ha ha ha Ntunzu nipo, Nataka nishinde kesho mseme nimebahatisha!!!Moja linatosha......Its a tough game dah

Yah it is very tough game my friend.....! Na huyu Mzee Ancelotti hataki Mchezo kabisa....!

Ila mkuu msimu huu mko vibaya aisee...! Nawapa pole ndugu zangu, maana Hali inakatisha tamaa...

Ngoja tuone mkuu Leo mtatoka vipi...!
 
Back
Top Bottom