Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Alishapewa misimu miwili, na huu wa tatu kaishafundisha game zaidi ya saba.
Muda gani tena mwingine unataka apewe ili a sort hizo mess?
Unajua Ferguson ilimchukua muda gani kuchukua kombe la ligi pale Manure baada ya kuanza kazi??
Msimu uliopita watu mlikuwa mnatembea vifua mbele tulivyokuwa tunawapiga watu 5 nils, 4 nils, 3 nils, etc. Leo mnajifanya mnasahau. Hadi sasa sijaona mtu anayetoa alternative solution hapa zaidi ya blame game na kumtafuta kwa nguvu zote scapegoat (aka BR).
Come on ladies..