Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alishapewa misimu miwili, na huu wa tatu kaishafundisha game zaidi ya saba.

Muda gani tena mwingine unataka apewe ili a sort hizo mess?

Unajua Ferguson ilimchukua muda gani kuchukua kombe la ligi pale Manure baada ya kuanza kazi??

Msimu uliopita watu mlikuwa mnatembea vifua mbele tulivyokuwa tunawapiga watu 5 nils, 4 nils, 3 nils, etc. Leo mnajifanya mnasahau. Hadi sasa sijaona mtu anayetoa alternative solution hapa zaidi ya blame game na kumtafuta kwa nguvu zote scapegoat (aka BR).

Come on ladies..
 
Kama mnaweza kumpata, why not?

Kuja kwa Cabaye inamaana BR atataka kumfanya CAN kama DM wetu, na kumrudisha Hendo kulia then Cabaye mbele yao kidogo..that means SG bench litamuhusu...

SG atakubal kukaa bench mara kwa mara???
 
Altenative ni BR kubadilisha mfumo ambao haufanyi kazi!

Lakin it seems hatak KUBADILIKA!

watu wanachohitaji ni BR kukubali kubadilika na akubali owners waajiti DOF (director of football) ili asimamie mambo ya usajili..asipende kutawala kila kitu mwenyewe!!

Nakumbuka he almost turned down deal ya kuifundisha LFC, aliposikia FSG wapo kwenye maongezi na LVG kuwa the DoF wa Club..
 
me nadhani BR ndo kaamua kutuumiza,hebu angalia J.4 tulivyocheza vizuri na SWNS,kwa diamond ileile tukawapiga! The next few days anarudi kulekule...afu hebu angalieni wadau,Game ambazo tumecheza bila SG,tumeperform vzr sana...hivi kuna dhambi gani kumuanzisha benchi SG??? Make nikiangalia performance zetu bila SG naona tumekuwa vema sana,I stand to be corrected so far
 
Altenative ni BR kubadilisha mfumo ambao haufanyi kazi!

Lakin it seems hatak KUBADILIKA!

watu wanachohitaji ni BR kukubali kubadilika na akubali owners waajiti DOF (director of football) ili asimamie mambo ya usajili..asipende kutawala kila kitu mwenyewe!!

Nakumbuka he almost turned down deal ya kuifundisha LFC, aliposikia FSG wapo kwenye maongezi na LVG kuwa the DoF wa Club..

Granted. But kwa jicho jingine hii naiona ni poor man-management by FSG. Kwani lazima aitwe DoF (which I think is BR's major problem)? Kwa nini wasimwite chief scout or something?? Surely he'll be doing the same freaking sh..t, won't he?
 
Kuja kwa Cabaye inamaana BR atataka kumfanya CAN kama DM wetu, na kumrudisha Hendo kulia then Cabaye mbele yao kidogo..that means SG bench litamuhusu...

SG atakubal kukaa bench mara kwa mara???

Kwanini SG ndio akae bench na sio Joe Allen? Cabaye anaweza kucheza no.6 au no.8, so naona a perfect combo na SG
Can bado hajathibitisha uwezo wake ndani ya EPL, lakini Cabaye ni tried and tested kwenye EPL
Kwanini mlimuuza Jonjo? Yaani Allen ni mkali kuliko JS? Ni bora Rodgers angekuja na kale kapass master Leon Brighton kuliko huyo Allen
 
Unajua Ferguson ilimchukua muda gani kuchukua kombe la ligi pale Manure baada ya kuanza kazi??

Msimu uliopita watu mlikuwa mnatembea vifua mbele tulivyokuwa tunawapiga watu 5 nils, 4 nils, 3 nils, etc. Leo mnajifanya mnasahau. Hadi sasa sijaona mtu anayetoa alternative solution hapa zaidi ya blame game na kumtafuta kwa nguvu zote scapegoat (aka BR).

Come on ladies..

Achana na hizo historia za 80's, mpira wa kipindi hicho Fergie anaanza kufundisha tofauti na sasa. Au kipindi hicho Fergie alitumia pesa kama alivyotumia BR za usajili?, labda uniambie RB apewe tena muda gani wa kuitengeneza timu? (Kumbuka Sasa hivi hatuhitaji stori za kutengeneza timu, tunataka stori za kunyanyua ndoo) Je Msimu kwanza na wa pili haukumtosha kutengeneza timu?
Msimu uliopita tulifanya vizuri kwa kupitia juhudi binafsi za baadhi ya wachezaji na sio kocha, timu kama timu tulikuwa nayo ya kawaida mno ambayo haikustahili kufika top 4. Na hichi ndio kinachom cost kwa sasa, alidhani kwa kufanya vizuri msimu uliopita na average players na msimu huu utakuwa hivyo hivyo ndio maana akasajili average players wengine wa kutosha.
 
Achana na hizo historia za 80's, mpira wa kipindi hicho Fergie anaanza kufundisha tofauti na sasa. Au kipindi hicho Fergie alitumia pesa kama alivyotumia BR za usajili?, labda uniambie RB apewe tena muda gani wa kuitengeneza timu? (Kumbuka Sasa hivi hatuhitaji stori za kutengeneza timu, tunataka stori za kunyanyua ndoo) Je Msimu kwanza na wa pili haukumtosha kutengeneza timu?

Mazingjra ya Ferguson then na BR sasa hayana tofauti kimantiki. Kilichopo sasa hivi ni magnified scale ya wakati ule in monetary terms but the scenario are similar, if not he same.

Tafuta transfer fees na players salary scales za wakati ule halafu urudi hapa nikupige darasa.

Kwa ufahamu wako tu, bado FSG hawajawekeza kiasi cha kuifanya LFC iwe kwenye financial bracket ya akina PSG, Chelsea, Man City, Man United, R Madrid, Barca, etc. Hichi ndicho baadhi yetu tunakililia sana na tutaendelea kuwaona FSG ni mabahiri fulani tu. Bila ya hivyo, tutasubiri sana tu hata aje kocha gani.
 
Kwanini SG ndio akae bench na sio Joe Allen? Cabaye anaweza kucheza no.6 au no.8, so naona a perfect combo na SG
Can bado hajathibitisha uwezo wake ndani ya EPL, lakini Cabaye ni tried and tested kwenye EPL
Kwanini mlimuuza Jonjo? Yaani Allen ni mkali kuliko JS? Ni bora Rodgers angekuja na kale kapass master Leon Brighton kuliko huyo Allen

Yeah! so unasuggest COMBO ya Cabaye+Hendo+SG...

Me napenda kuona CAN anapewa nafasi zaid as a CDM, because ni moja kati ya Positive signings za BR kwa msimu huu! Combo ya CAN+HENDO+SG itapendeza zaid with PC in the free role katika *diamond formation*..

Allen wakat yupo Swansea alikuwa mzuri sana, but nadhan LFC alitumika vibaya, lakin nadhan mwanzo wa msimu huu kabla hajaumia alikuwa ni mmoja kati ya viungo wetu wazuri uwanjani..hata hivyo nadhan ni MFUMO ndo unaofanya playerz wacheze mpira m-bovu, mtu ambaye hakumuona Hendo last season akimuona kwenye hii 4-2-3-1 atamuona ni kiungo asiyejua kitu, coz mfumo unampeleka katika LCM wataki yeye ni RCM (typical RCM)..

i'd like to see CABAYE at LFC ili kuongeza nguvu ya kiungo, but honestly CAN apewe nafasi zaid..kiungo kitaimarika zaidi!

And we got Lallana already ambaye naona ndo anatumika VIBAYA zaidi!
 
Kwanini SG ndio akae bench na sio Joe Allen? Cabaye anaweza kucheza no.6 au no.8, so naona a perfect combo na SG
Can bado hajathibitisha uwezo wake ndani ya EPL, lakini Cabaye ni tried and tested kwenye EPL
Kwanini mlimuuza Jonjo? Yaani Allen ni mkali kuliko JS? Ni bora Rodgers angekuja na kale kapass master Leon Brighton kuliko huyo Allen

Jonjo aliona mbaaali saana, angekula sana mkeka..wenzake aliokuwa nao academy wote wanatolewa kwa mikopo kila siku, Kina Texeira, Ibe....Coady kina adjoran, Pieterson, Morgan etc washauzwa under BR..Suso hapewi nafasi, Yesil hapewi nafasi..so JONJO angeharibu MPIRA wake tu pale LFC..bora alienda kujaribu sehem nyingine..
 
Hata tumpate goal poarcher kama Muller au hata aje clinical kama Costa kwa viungo tulio nao na mfumo wake BR wa 4-2-3-1 hataweza fanya lolote!Kumlaumu MB kama alivyo sema kocha Ancelotti leo ni kumuonea tu!

SG hachezi vibaya na kumuweka benchi hakutaondoa tatizo hili hadi hapo BR atakapo kubali kuwa ni diamond tu itatupa mafanikio!

Hauna mtu kama Matic wala Fabrigas,Hauna watu kama Xavi waka Iniesta then unataka 4-2-3-1?
 
Tony Barret saying BR anaweza akam-drop SG kesho against RMA!!!

HAHHAHAHAHHAHHA!!

*Bernabeu* should be very very Interesting!
 
Resting SG against RMA w'd be a TERRIBLE idea!!

Lets wait and see kama anachokisema Tony Barret kina ukweli...
 
James Pearce Saying Markovic and lallana wanaweza kuanza kesho!!

Dom king Saying RS anaweza kuwa dropped kesho!!

So kama ni kweli basi both SG and RS wanaweza kuwa Rested tomorrow AND Markovic na Lallana wanaweza kuanza!!

the thing is they're both most reliable LFC local journals (Barret, Pearce and Dom king)..But bado sijaamini hii kitu mpaka nione first team sheet!!!
 
Ntuzu nasikia yale maadhimisho ya sherehe ya magoli ya wiki hii yanaanza leo na kilele chake itakuwa ni jumamosi pale Anfield...

eti ni kweli!?
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu nasikia yale maadhimisho ya sherehe ya magoli ya wiki hii yanaanza leo na kilele chake itakuwa ni jumamosi pale Anfield...

eti ni kweli!?

Hahahahaaaaaa mkuu utapigwa humu ukisema hivyo....!

Yah, ile sherehe mkuu inaanza Leo pale Spain Alafu itaitimishwa Kwao majogoo J'mosi.....!

Leo Ronaldo anatupia tatu peke yake, Benzema 2 peke Yake, Balle 3 peke Yake na Yule Jamaa Pepe atatoka nyuma mpk kwenda kufunga Leo...!
 
Last edited by a moderator:
Rm wako safi sn hlo HALIPINGIKI BUT KUFUNGWA GOLI NYINGI SIO KAWAIDA YETU WANA ANFIELD WE GONNA LOSE 3 AU 4 KWA 1.
BR HASINIPANGIE A.MORENO TODAY KWAN LEO SIO SIKU YA KUWATULIZIA STRICKERS MIPIRA!ALIMTULIZIA JOVETIC AKATUFUNGA THEN V N'CASTLE AYOSE AKATUFUNGA PIA.
Km ningekuwa BR LEO NI
1.MIGNOLET
2.MAQUILLO
3.JOHNSON
4.SKRETEL
5.LOVREN
6.ALLEN
7.HENDO
8.CAN
9.BALLO
10.SG
11.A.MORENO.
Kazi ya SG NI KUTEMBEA NA MODRIC,CAN ANATEMBEA NA KROOS MUDA WOTE.
Lengo langu ni kwenye msimamo GD isiwe (-) kubwa sn.
KAZI YA BALO NI KUPIGA PIGA TU MIPIRA KUELEKEA GOLINI.
 
Mazingjra ya Ferguson then na BR sasa hayana tofauti kimantiki. Kilichopo sasa hivi ni magnified scale ya wakati ule in monetary terms but the scenario are similar, if not he same.

Tafuta transfer fees na players salary scales za wakati ule halafu urudi hapa nikupige darasa.

Kwa ufahamu wako tu, bado FSG hawajawekeza kiasi cha kuifanya LFC iwe kwenye financial bracket ya akina PSG, Chelsea, Man City, Man United, R Madrid, Barca, etc. Hichi ndicho baadhi yetu tunakililia sana na tutaendelea kuwaona FSG ni mabahiri fulani tu. Bila ya hivyo, tutasubiri sana tu hata aje kocha gani.
Ukiacha msimu huu Manchester united sio biggest spender kabisa kwenye issue za transfers, na wamefanya vizuri sana kwenye ligi kuu, Arsenal na wenyewe sio watumiaji wazuri na wanafanya vizuri ukilinganisha na Liverpool kwa miaka mitano iliyopita. Kumbuka kuna timu hazitumii sana fedha na zinafanya vizuri ( A. Madrid, Borrusia D, Arsenal)
Soma hii link (Ingawa inaweza ikawa sio credible sana) ya transfer fees kwa miaka mitano iliyopita af uje unipe hilo darasa na uniambie ubahili wa FSG upo wapi, ulinganishe na ule wa akina Thom Hicks na kipindi gani cha utawala wa hao matajiri timu ilikuwa inafanya vizuri.

Newcastle_United_Spending_Last_5_years.png

League Table of Premier League Spending Over 5 Years, Where Do NUFC Come? | NUFC The Mag
 
Back
Top Bottom