Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah yaani mwaka 2018 nilipopata laki 2 tu niliamua kuoa na nikaona maisha niliyapatia kwelikweli lakini Sadio Mane na Utajiri wote alionao ndiyo kaona jana alikuwa bado anajitafuta 🙆🙆View attachment 2865601
Masha'Allah 🔥🔥🔥
Ostaz kaopoa chombo

Dada amepata mume mwema ,kijana mstaarabu sana mshika dini.

Nikikua mkubwa nataka niwe kama huyu binti.
 
The MoNA hata babu Redknapp katoa pongezi kwa Ibou
View attachment 2865649

Aisee jana alitupa game poa sana. Hakuwa na zile challanges za kuumiza timu maana jamaa kuna muda anakosa utulivu mno. Ila kwa jana aisee 9/10 nampa. Alikiwasha.

Nilisoma mahali, Klopp aliuliza kuhusu ku command backline mechi ya jana baada ya VVD kuumwa, Ibou akasema i am here, i will command. Aise na alicommand kweli kweli.

My boy Quansah Vvd 2.0
 
 
Polish Messi miaka hii miwili amekua na slow progression, future is bright sana akifuata maelekezo ya Mwalimu

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…