Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20240108-WA0034.jpg
 
Dah yaani mwaka 2018 nilipopata laki 2 tu niliamua kuoa na nikaona maisha niliyapatia kwelikweli lakini Sadio Mane na Utajiri wote alionao ndiyo kaona jana alikuwa bado anajitafuta 🙆🙆View attachment 2865601
Masha'Allah 🔥🔥🔥
Ostaz kaopoa chombo

Dada amepata mume mwema ,kijana mstaarabu sana mshika dini.

Nikikua mkubwa nataka niwe kama huyu binti.
 
The MoNA hata babu Redknapp katoa pongezi kwa Ibou
View attachment 2865649

Aisee jana alitupa game poa sana. Hakuwa na zile challanges za kuumiza timu maana jamaa kuna muda anakosa utulivu mno. Ila kwa jana aisee 9/10 nampa. Alikiwasha.

Nilisoma mahali, Klopp aliuliza kuhusu ku command backline mechi ya jana baada ya VVD kuumwa, Ibou akasema i am here, i will command. Aise na alicommand kweli kweli.

My boy Quansah Vvd 2.0
 
IMG-20240108-WA0015.jpg
 
Gordon was so impressive before ile long injury yke. Ngoja tuone kama akipata nafasi atarudi yule yule au vipi. Huyo Melkamu ni mu Ethiopia dogo mzuri sana aise.

Oakley Cannonier mzuri sana japo bado hajapata time nzuri ya kutrain na senior team.

Namuona Calum Scanlon anapata sana airtime kutrain na senior player ila hapati japo dk 2,3 ni LB huyu.

Kuna mpoland yule sifa anamwagiwa ila sijamuona hata senior team hata bench tu. Mateusz Musialowski wenyewe wanamuita Polish Messi
Polish Messi miaka hii miwili amekua na slow progression, future is bright sana akifuata maelekezo ya Mwalimu

YNWA
 
Back
Top Bottom