Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

-5830042346677453615_121.jpg

Mechi ya FA Jumapili kati ya Liverpool na Arsenal iliweka rekodi ya kusikilizwa na watu milioni 7.6.

YNWA
 
View attachment 2867035
Hawa wote [emoji115] [emoji115] [emoji115] kwa sasa hatunao kikosini...

Majeruhi hawa hapa
Matip
Domy
Thiago
Tsimikas
Trent
Robertson

Mashindano ya kimataifa
Salah
Endo.

January mechi ni nyingi sana tunahitaji bahati iwe upande wetu kuvuka salama bila kuongeza majeruhi wapya.

YNWA
Leo kati pale Jk afumbe macho awaweke wakina Nyoni wale watege shule Leo hakuna namna
 
Kinda Martin Odergard akiwa mazoezini Liverpool na maestro Steve Gerrard aka Captain Fantastic... Enzi hizooo alikua wa motooo alikua anatikwa na klabu nyingi sanaaa
Screenshot_20240110_074232.jpg

Martin Odergard alikaribishwa Liverpool akiwa kinda kwa ajili ya kumsajili lakin aligoma baada ya Real Madrid kumshawishi zaidi kwa bahati mbaya hakupata nafasi kule na Arsenal wakamshawishi kujiunga nao mazima...

YNWA
 
Kinda Martin Odergard akiwa mazoezini Liverpool na maestro Steve Gerrard aka Captain Fantastic... Enzi hizooo alikua wa motooo alikua anatikwa na klabu nyingi sanaaa
View attachment 2867047
Martin Odergard alikaribishwa Liverpool akiwa kinda kwa ajili ya kumsajili lakin aligoma baada ya Real Madrid kumshawishi zaidi kwa bahati mbaya hakupata nafasi kule na Arsenal wakamshawishi kujiunga nao mazima...

YNWA
Na akapoteana na kuwa mchezaji wa kawaida
 
Back
Top Bottom