Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bhana weeee ManCity ina mashabiki hapa Bongo? Hao wote ni Mashabiki wa Manjesta sema wanajilazimisha tu kuhamia huko mjini Manjesta
 
Sasa kama timu haibebi makombe lazima mpigiane soga kujipoza moyo.

Mabingwa siku zote huwa hawana maneno mengi, kazikazi.


False hopers sasa 🤣🤣🤣
 
Sasa kama timu haibebi makombe lazima mpigiane soga kujipoza moyo.

Mabingwa siku zote huwa hawana maneno mengi, kazikazi.


False hopers sasa 🤣🤣🤣
Timu imejaa watoto wa Shule
Wote wapo hostel,hawamiliki simu 😂😂

Una habari golikipa wenu ametoboka paja?
Hata wa kuwaletea habari hayupo.
Jukwaa limepooza kama uji wa mgonjwa.
 
ManCity haina shabiki hapa Bongo.
Timu zenye Washabiki ni
Arsenal
LFC
MAN U
CHELSEA ( Tena Chelsea imeanza kupata mashabiki miaka ya 2003)
Na Mzee Jakaya Kikwete ni shabiki wa Newcastle nakupa kama bonus
Mkuu mashabiki wapo na mashabiki wenyewe ndio sisi japo ni wachache nakubali.
Au Shabiki inabidi akidhi vigezo gani ili awe shabiki wa timu fulani kiasi kwamba hakuna yeyote mwenye hivyo vigezo vya kuwa shabiki wa city hapa bongo.
 
Mkuu mashabiki wapo na mashabiki wenyewe ndio sisi japo ni wachache nakubali.
Au Shabiki inabidi akidhi vigezo gani ili awe shabiki wa timu fulani kiasi kwamba hakuna yeyote mwenye hivyo vigezo vya kuwa shabiki wa city hapa bongo.
Ukimtoa Pain killer unabaki mwenyewe
Au mnamtegea cocastic 😂

KaCoca na Mpira wapi na wapi
Coca wake udaku
 
Ukimtoa Pain killer unabaki mwenyewe
Au mnamtegea cocastic 😂

KaCoca na Mpira wapi na wapi
Coca wake udaku
🤣🤣🤣😃 Yani kipara kakaza kila angle kiasi kwamba ili mjipoze machungu ya kuwa anawapokonya makombe mmeamua ku assume kwamba hata hivyo timu yenyewe haina mashabiki 🤣🤣🤣😂

Nakwambia hivii bado hamjasemaa, mpaka msemee.
 
Macho yako yanafanya kazi sawasawa au nikuazime mawani?

Msimamo wa league unaujua?
 
Calvin Ramsay has returned to Liverpool from his loan spell at Championship side Preston North End.

The right-back, a 2022 signing from Aberdeen, is back at the Reds having spent the first half of the season at Deepdale.

Ramsay made two senior appearances under Jürgen Klopp during a debut campaign at Anfield that was cut short by an injury that required surgery last February.
 
Pepijn Lijnders has shared the pride Liverpool’s coaching staff feel in seeing Curtis Jones flourish on a consistent basis.

Making his 14th start of the campaign last Wednesday night, Jones bagged his fourth goal – with the help of a deflection – to begin the Reds’ comeback versus Fulham at Anfield.

The midfielder’s equaliser was quickly followed by a fine Cody Gakpo finish in front of the Kop as Jürgen Klopp’s men secured a 2-1 advantage from the first leg of the Carabao Cup semi-final.

You have to accept cookies in order to view this content on our site.
Jones, who had previously netted twice in the last-eight defeat of West Ham United, has been involved in 32 of Liverpool’s 43 fixtures since last April.

And Lijnders saluted the growing influence the Scouser is having on the team.

“I have to say, his development goes hand in hand with the development the team went through, already since the end of last year,” the assistant manager told Liverpoolfc.com.

“He always shows up, he’s this player who really leads with the ball and without the ball.

“He played an incredible [U21] Euros, for me he was the best player there. He is so influential for the team, with the ball and without the ball.

“It’s really cool to see how he shows up every time again. We are really happy and proud with him that he can give so much impulse every game again and again.”
 
Macho yako yanafanya kazi sawasawa au nikuazime mawani?

Msimamo wa league unaujua?
Mnatuacha point mbili na ligi tunaanza February halafu unawaza ubingwa si kituko hiki.

Muulize mwenzio arsenyani akwambie...nyie wenyewe ni victims wetu pia sio arsenyani tu ko mnaelewa vizuri sana tu, we endelea kufurahia point 2 wakati tulikua warm up.
 
Pole sana mdogo etu
Sisi ndio Mabingwa wa dunia
 
BREAKING: Everton will be facing ANOTHER points deduction this season after Premier League charges

Everton's potential new owners 777 Partners are facing another lawsuit after an investor started legal proceedings against the Miami-based firm, Citing damages of $30m.

Everton and Nottingham Forest have been charged with breaching Premier League Profitability and Sustainability Rules and face points deductions.
 
Mona hujambo?
Ile shkamoo yangu uliyoitunza unipe[emoji1787]

Leo siendi
Bobby ataniombea nina Imani.

Umri ni namba tu si unajua hili eeh?? Kama Eva alitoka kwenye mfupa wa Eva maana yake umri wa Eva na Adam ni sawa kwani mfupa wake ulimtoa mtu.


MAMBO Miss Liverpool.

Anyway Shikamoo madam,
 
Umri ni namba tu si unajua hili eeh?? Kama Eva alitoka kwenye mfupa wa Eva maana yake umri wa Eva na Adam ni sawa kwani mfupa wake ulimtoa mtu.


MAMBO Miss Liverpool.

Anyway Shikamoo madam,
Acha siasa Mona

Marahaba,
Hujambo?😂

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…