Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Bhana weeee ManCity ina mashabiki hapa Bongo? Hao wote ni Mashabiki wa Manjesta sema wanajilazimisha tu kuhamia huko mjini ManjestaWapo wawili tuš
Yeye, na Pain Killer.
Asipokuwepo pain Killer ndio basi tena jukwaa halina mchambuzi š¤£š¤£
Herzog usikae kinyonge,njoo tupige domo mdogo anguš
Njoo chama kubwa uenjoy uchambuzi wa mpira..huku kuna hadi watu wanaishi Anfield akina Bobby hao na Def..bahati iliyoje.. tunapata hadi stori mbichi mbichi za ndani.
Kule mama Cita hivi vitu hakuna