Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu Na timu zenu Chelsea alishindikana msimu uliopita Suarez danny u will Never work alone song wote walikuwepo ,eti Leo achapwe kilaini mapenzi ni upofu

Waache wajilishe matango pori....! Wanafikiri Chelsea ni km Madrid....! Jana si walikua wamepaki bus na kwa Chelsea watajifanya kutoka kutafuta goli hapo sasa ndio watamjua Mourinho Kua ni nani....!
 
Damage limitations with this joke of players? Au anatafuta sababu akibamizwa bao 7 hapo Bernabeu aje kusema "we did not put out our strongest squad"?

amefanikiwa kaka....1-0 is respectable score at Bernabeu
 
Waache wajilishe matango pori....! Wanafikiri Chelsea ni km Madrid....! Jana si walikua wamepaki bus na kwa Chelsea watajifanya kutoka kutafuta goli hapo sasa ndio watamjua Mourinho Kua ni nani....!

na wewe kwa majigambo umezidi....mpira hauchezwi mdomoni nishakwambia sana....yale yale oooh man utd tutawapiga saba sijui tano mpira umeisha ukaanza kulilia penati...na kwa mdomo wako huo jumamosi utakuja kuadhirika....btw mechi hii yoyote akichapwa mimi kicheko tu
 
Kuna katimu flani kocha wake analia ati wakicheza home nikama wako empty stadium! Hivi anamaanisha nini vile?! Maana ukiangalia uwanja huwa umejaa nyomi kwelikweli!!!
 
Kwani hawa LFC hawajigambi? Mi naongea Hali halisi kwamba hatuendi kupoteza huo Mchezo jumamosi..!

Alafu Ni kweli Refa alifanya makosa karibu kila mtu anajua hili.....!
 
Kwani hawa LFC hawajigambi? Mi naongea Hali halisi kwamba hatuendi kupoteza huo Mchezo jumamosi..!

Alafu Ni kweli Refa alifanya makosa karibu kila mtu anajua hili.....!

hahahahahah are u still on it???!!! tusubiri jumamosi,niko neutral let the best team win
 
Kwani hawa LFC hawajigambi? Mi naongea Hali halisi kwamba hatuendi kupoteza huo Mchezo jumamosi..!

Alafu Ni kweli Refa alifanya makosa karibu kila mtu anajua hili.....!

Inawezeka bado umelala ,hii ndo imalizie tujuwe
 
Unapowataja costa,hazard,wilian &co Kwamba tutashndwa kuwazuia INAMAANA HAO NI ZAID YA Benzema,cr7,isco,luka,kroos.bale&co??NIKUKUMBUSHE KDOGO TU TOKA SUPER CUP CR7 KAZFUNGA TIMU ZOTE ALIZOKUTANA NAZO MPAKA JANA PALE estadio de santiago bernabeu!
 
Kwa qpr mambo yalikuwa magumu ingawa mlitoboa, pia OT kiungo chenu kilimezwa.
 
Waache wajilishe matango pori....! Wanafikiri Chelsea ni km Madrid....! Jana si walikua wamepaki bus na kwa Chelsea watajifanya kutoka kutafuta goli hapo sasa ndio watamjua Mourinho Kua ni nani....!

Washabiki wa chelsea naona mnaanza kubweteka, hivi kweli nyie ni wazuri zaidi ya madrid???? Ebu acheni kujilinganisha eti unafikiri chelsea ni km Real madrid. Mnao mpira gani wa kujivunia? Seriously!
 
Kuna katimu flani kocha wake analia ati wakicheza home nikama wako empty stadium! Hivi anamaanisha nini vile?! Maana ukiangalia uwanja huwa umejaa nyomi kwelikweli!!!

Historia hailazimishwi, timu ndogo ni timu ndogo tu.
 
Waache wajilishe matango pori....! Wanafikiri Chelsea ni km Madrid....! Jana si walikua wamepaki bus na kwa Chelsea watajifanya kutoka kutafuta goli hapo sasa ndio watamjua Mourinho Kua ni nani....!

Sound like you scared now ehehehehe!Unapimana nguvu na Madrid kwake na soka linachezwa la uhakika ndiyo atusumbue Chelsea msaka tonge?
 
Bro utabili umeanza lini,au nihakataki za kuja hapa na kusema nilisema, Ngoja tusubiri jmosi labda utatimia

Mkuu
Majogoo wenzangu wanaogopa bure kabisa!Chelsea moto wao umepungua mno hasa kama umeziona mechi zao za hivi karibuni!

QPR alimsumbua sana Darajani!QPR wanashika mkia!!Chelsea hamfungi Kops Anfield labda BR alete upuuzi wake wa 4-2-3-1 lkn akichezesha diamond namfunga easy tu
 
Naona unaanza kutafuta visingizio, humwamini kocha wako? Inaonekana huiamini timu yako. Achana na "labda labda" na "lakini lakini"....Subiri kipigo ndugu. Acha kujiandalia visingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…