Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Alonso will suit us CV as Player might favour him first…!!! Then Roberto De Zerbi 2nd candidate to lead this trop

Ni aina ya makocha wenye uwezo wa kukuza na kuendeleza vipaji.
 
Noted. Kiukweli sijahuzunika kuondoka kwa klopp. Kashajitahidi kwa uwezo wake wote. Kaleta vikombe ucl, epl, nk. Tukubali changamoto nyingine. 8 yrs imetosha. Liverpool will remain the same without klopp.

Sema Klopp alipaswa kupata zaidi ya hapo atleast 2 CL and 3 EPL but so far not bad atleast katurejesha kwenye ramani ya ushindani.

Sporting director na coach selection ndilo la muhimu kwa sasa..!!!
 
Salah
Klopp
Na hao viongozi.
Aseee hii lzm myumbe

Bila umakini mnakuwa kama United after Ferguson.
Lkn ni km mnapishana na united, historia inaeleza
 
D ah leo nimevurugwa na hii taarifa basi tuu wadau sielewi hapa

Wengi tulivurugwa balaa. Mie niliingia matandaoni ndio nakuta post in 1 min aisee kama naota vile. In way ni vile imekuwa ghafla.

But we are safe bado tupo salama sana, na tutaendelea kuwa salama pia. Thats football. Shughuli ni kumpata kocha mwenye bond na fans na LFC community overall. Wapo wazuri na this time FSG wamekomaa kwenye sekta hii natumai selection zitakuwa nzuri tofauti na miaka ile wanaanza kuendesha timu
 
kabisa ila vipi huu msimu si amesema anaumaliz ndio aondoke?
 
Kama si Alonso basi ni yule wa Brighton. Nafikiri ni Robarto Ze Greb.

Yeah hawa ndio most two candicated are highly recommended

Alonso & De Zerbi. Tusubiri tuone, maana FSG walishapata taarifa hii kabla yetu, next week kuna appointment of new Sporting director, kabla ya new coach. Huyu ndio atahusika pia kuchagua new coach
 
Kumbe ni kweli 😭😭😭😭😭
Jamani😭😭😭😭😭

Klopp nani kamroga kwani? 😭
Hajalogwa. As a human being like you Klopp ana maamuzi yake pia for the sake of many things (family, health, reputation e.t.c).

So even if it's hard to swallow this we also should brace ourselves for a future without him.

That's part of life, like losing your loved ones. It's the process. Trust the process and hope for the best.
 
Kumbe ni kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Klopp nani kamroga kwani? [emoji24]

Kwamba hukutuamini?? Thats life maam’ its a process too.

Tukubali kuanza maisha bila yeye next season and its possible. Kizuri ametuacha pazuri
 
Kumbe ni kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Klopp nani kamroga kwani? [emoji24]
pole mama yatapita haya[emoji16][emoji16][emoji16] ila roho imeniuma zile 7 zetu hatujaziludisha.

Naona kakimbia ujio wa bwenyenye jipya pale OT Sir Jim [emoji38]

mtarambwa sana yani raha tupuuuu.
 
Sina uhakika km Buvac the brain atabadilisha msimamo wake alioutoa wakati ule anaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…