The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
[emoji23] [emoji23] Na Salah kwani anaodoka na Klopp....
Well sleep on its dogo...
We have been through worse scenarios kuliko hii..
Nina imani kwamba misingi ipo na FSG kuna kitu wamejifunza kutoka kwa Klopp hivyo wako prepared zaidi kutoleta kocha wa majaribio design kama Rodgers...
YNWA
Alonso will suit us CV as Player might favour him first…!!! Then Roberto De Zerbi 2nd candidate to lead this trop
Ni aina ya makocha wenye uwezo wa kukuza na kuendeleza vipaji.