Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Naam. Huko juu nimempendekeza Edward pia. Anatujua vizuri na anawajua FSG.

Tuone itakuwaje, maana ndilo eneo wataanza nalo kuanzia feb na kuendelea
 

Ulijendi haufundishi. Gerrard kwa EPL proven failure akiwa villa. Huko Saudi hana mechi aliyoshinda ndio ije kuwa LFC? Kwa ufupi Gerrard hana uwezo.

Utd lijendi kafeli
Chelsea lijendi kafeli

LFC kama ni lijendi Alonso anatosha,

YNWA
 
Klopp ni zaidi ya mtu, ni culture, personality, taasisi, monument…. You name it

I don’t see such a personality kwa sasa

Linders hana hizo qualities

Tumefikiwa 🥹🥹🥹

Kabisa mkuu. Not easy but possible
 
Klopp anaacha klabu ikiwa safe in n out of the field hivyo muda wa kuanza tena kuambiana ubingwa mpaka miaka minne hatuna aisee tunahitaji kocha wa kuleta immediate impact kwenye klabu na ushawishi sokoni na mwenye kueleweka anachocheza kimfumo sio zianze stori kama za Manchester United kwamba wachezaji hawa sio wangu bla bla... Mfumo unajulikana sana sana ni 4 3 3 attacking, weaknesses inajulikana ni RB na DM hivyo kocha ajae kibarua kinaanzia hapo hapo...

FSG wamewekwa mtu kati hapa wakianza zile bla bla zao wajue klabu itashuka mazima... Katazame msimamo wa mapato ya Delloite Liverpool kwa kukosa kushiriki Champions League imeporomoka mpaka nafasi ya 7

YNWA
 
Mie ni nyumbu ila nimehuzunishwa na kuondoka kwa Klopp EPL. Jamaa alikuwa na passion ya hali ya juu sana juu ya timu na football kwa ujumla, ilikuwa inavutia kuona reactions zake akiwa kwenye emotions tofauti tofauti.
Kila nilicho na uhakika nacho mabadiliko kwa hizi timu kubwa sio kitu kidogo maana inaweza kuwagharimu muda kiasi kubounce back hasa ukifikiria Salah naye ni kama anaishia au amechuja kiasi chake.

Top 10 na Championship hizi hapa baada ya misimu miwili hivi. Anyway, tutakuwa tunakutana kwenye mechi za carabao na FA mkifanikiwa kufikia round za juu kidogo.
 

Tuseme tu watakuwa wamejifunza kuhusu biashara ya mpira… its up to them to maintain or destroy
 
Lakini alisema anaondoka 2027 mbona
Shida siyo kuondoka,
Shida ni kama imekuwa ghafla.

Tutayajua tu Madam. Just relax he is our Moses we need to find our Joshua and not Moses again.

Kuna maswali unajiuliza kuhusu sababu yake ya kuondoka kama inakataa, landa kama ni kuumwa. Maana kama ni umri Don Carlo Ancelloti ni mkubwa kwake na yupo kwenye game miaka mingi tu, Hodgson, Moyes wapo hapo umri mkubwa bado wapo kwenye industry.

Hivyo maswali kama haya unajikuta akilini inakuja FSG, kuna mahali wameshindwana.

Relax Liverpool is still safe unless FSG wakumbatie tamaa, ila wamekaa muda kwenye game hivyo wamepata picha halisi ya biashara na nini kitatokea ikiwa hawatawekeza vya kutosha ndani ya uwanja. Klopp amewaonesha njia tayari ya nini ufanye uwe juu na ushindani.

Let focus na palipobaki as VVD said today.

Boys are ready to fight for club goals. Watupe Xabi Alonso au De Zerbi

YNWA.
 
Yaani hata facial expression ya Klopp alivyokuwa anaongea, inaonyesha Kuna kitu hakipo sawa😭
Mwee huyu baba anatuacha yatima wa mpira tuanze kutangatanga kama nyumbu na Chelsii😭
 
Tuseme tu watakuwa wamejifunza kuhusu biashara ya mpira… its up to them to maintain or destroy
🤣 🤣 Yankees kwa kupenda short cut haha usishangae aisee hawa jamaa wana roho ngumu sana... Tangu msimu ule wanatuletea akina Kabak wakati tulitakiwa kujenga kikosi cha kumkimbiza Kipara msimu ule sina imani kabisa na hawa jamaa.

Pona yetu ni kama Klopp atahusika na kupendekeza ama kushauri nani ni nani awe mridhi wake...

YNWA
 
Yaani hata facial expression ya Klopp alivyokuwa anaongea, inaonyesha Kuna kitu hakipo sawa😭
Mwee huyu baba anatuacha yatima wa mpira tuanze kutangatanga kama nyumbu na Chelsii😭
Muacheni Klopp akapumzike amefanya jambo lake na sasa kijiti anapokea mwingine ndio maisha yalivyo aisee asingefia pale.. Tangu mwaka 1990 Klopp mpaka sasa Klopp alikua na mapumziko ya siku 90 katika kipindi chote hicho hivyo sishangai sana akisema hana tena nguvu za mapambano anaishiwa amsha amsha...

Imagine 1990 mpaka sasa ni miaka 34 amekua mchezaji akawa kocho bila kua na break zaid ya siku 90 lol amepambana apumzike...

YNWA
 
Apumzike vipi na hajamaliza muda😭
 
Yaani hata facial expression ya Klopp alivyokuwa anaongea, inaonyesha Kuna kitu hakipo sawa[emoji24]
Mwee huyu baba anatuacha yatima wa mpira tuanze kutangatanga kama nyumbu na Chelsii[emoji24]

He is not happy, amejikaza sana. Labda ni emotional kuondoka nje ya muda aliodhani atakaa ndani ya LFC.

Anyway lets start to move on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…