The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Hii imekaa aje aisee ina maana mpaka Jorg anasepq mbona kama tunabaki weupe mno kwenye nafasi muhimu sana aisee.
Muda utasema lakini hizo nafasi za kiutendaji FSG wanamleta nani kama vipi warejee kwa Edwards hawajachelewa alisaidia sana kujenga kikosi kwa mafanikio makubwa na pia data zake ndio washawishi Klopp aliekua na msimu mbaya sana BVB kwamba atafit Liverpool..
EDWARDS anatosha hii revolution hata kama sio full time apewe shavu la part time kuajiri watu muhimu kuanza hii revolution..
YNWA
Naam. Huko juu nimempendekeza Edward pia. Anatujua vizuri na anawajua FSG.
Tuone itakuwaje, maana ndilo eneo wataanza nalo kuanzia feb na kuendelea