Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi na anafanya nini
Ok hiyo reason wkt yupo lfc,Hata BR alimwambia hendo hvyo na alimwambia atafute timu but hendo alijibu atapambana kupata namba kikosini.Amelithibitisha hlo na ni naodha wetu msaidizi..!NIKIMUANGALIA BR KWA JICHO LA 3 NI UKWELI KUWA CAN ANAWEZA KUJA KUMPOTEZA HENDO NA MARKOVIC AND OR LALLANA KUMPOTEZA COUTINHO.NEXT SEASON BR ATAKUWA NA 8 AU 9 PLAYERS AMBAO AMEWASAJILI YEYE.
Tuta sumbua tena kwenye league season ijayo with Origi back...
Mnafurahi kutobolewa na Madrid kimoja? Yani nyie hamuoni ata aibu...! Mmedhihirisha udhaifu sn....! Mnabutuliwa kotekote na Madrid Alafu Eti mnajifariji kwa kufungwa kimoja Santiago! Loser......!
Mbona hutulii? Unawashwa?
Hivi huyu jamaa siku hizi yupo wapi na anafanya nini
Nawashwa kuja kuwatoboa.... Msimu uliopita niliwatoboa kotekote na safari hii mjiandae....! Nakuja Bwana wenu..!
Mimi nadhani ingekuwa busara zaidi kuyaongea maneno hayo baada ya mechi,unachokifanya saivi ndo uleule ushabiki wa kiswahili wa Simba na Yanga,BADILIKA!
nshasema na ntasema siku zote...HOFU YA LIVER NI ASERNAL TU UK SIO HAO WADUDU WENGINE,,MAN CITY,CHELSEA...HATAKAMA TUNGEKUA WABOVU KIASI GAN LAKIN CHELSEA KWA LIVER NI MCHUMBA TU..."JMOSI INIHUKUMU"
Mmeanza kuingiwa hofu...!!! Tulieni tu mabwana zenu kesho Tunakuja....! Mwanamke akiole sharti asilale na pichu....! Mabwana zenu Tunakuja kwa wake zetu zingatieni masharti ya ndoa...!
Cc: nyangelekene
acha kushabikia liver utakuja kujinyonga bure kaka