Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ok hiyo reason wkt yupo lfc,Hata BR alimwambia hendo hvyo na alimwambia atafute timu but hendo alijibu atapambana kupata namba kikosini.Amelithibitisha hlo na ni naodha wetu msaidizi..!NIKIMUANGALIA BR KWA JICHO LA 3 NI UKWELI KUWA CAN ANAWEZA KUJA KUMPOTEZA HENDO NA MARKOVIC AND OR LALLANA KUMPOTEZA COUTINHO.NEXT SEASON BR ATAKUWA NA 8 AU 9 PLAYERS AMBAO AMEWASAJILI YEYE.
Tuta sumbua tena kwenye league season ijayo with Origi back...
 
Ni kwel kama anaanza kumuelewa CAN na umri alionao kwel pengine akawa mwiba mkali sana!
 
NAONA KAMA JMOC HAIFIKI TUMTOBOE MTU.....mechi na the BLAUZ ndo itatangaza rasmi tumeanza msimu...100%YNWA
 
Upande wangu ni kuwa a moreno ni mzuri sn ktk kuattack rather than kuzuia.Km unamtumia basi namba 6 habaki kwa tahadhar ya mashambuliz hasa upande huo wa kushoto.Alifanya kosa kubwa v man c na jovetic alitufunga likiwa goli la kwanza then game zaid ya 5 mbele anarudia kosa km lile na ncastle anatuadhibu!He has outsanding perfomance against tottenham.
 
LALLANA and BALE
 
Attachments

  • 1415297314178.jpg
    1415297314178.jpg
    76.5 KB · Views: 85
Ok hiyo reason wkt yupo lfc,Hata BR alimwambia hendo hvyo na alimwambia atafute timu but hendo alijibu atapambana kupata namba kikosini.Amelithibitisha hlo na ni naodha wetu msaidizi..!NIKIMUANGALIA BR KWA JICHO LA 3 NI UKWELI KUWA CAN ANAWEZA KUJA KUMPOTEZA HENDO NA MARKOVIC AND OR LALLANA KUMPOTEZA COUTINHO.NEXT SEASON BR ATAKUWA NA 8 AU 9 PLAYERS AMBAO AMEWASAJILI YEYE.
Tuta sumbua tena kwenye league season ijayo with Origi back...

Hakuna wa kumficha/kumpoteza countinho
Mi man u dam but acha coutinho aitwe fundi baba
 
KOLO and TOM WERNER today kwenye training!!
 
Attachments

  • 1415298754191.jpg
    1415298754191.jpg
    55.1 KB · Views: 71
Mmeanza kuingiwa hofu...!!! Tulieni tu mabwana zenu kesho Tunakuja....! Mwanamke akiole sharti asilale na pichu....! Mabwana zenu Tunakuja kwa wake zetu zingatieni masharti ya ndoa...!

Cc: nyangelekene
 
Last edited by a moderator:
Mnafurahi kutobolewa na Madrid kimoja? Yani nyie hamuoni ata aibu...! Mmedhihirisha udhaifu sn....! Mnabutuliwa kotekote na Madrid Alafu Eti mnajifariji kwa kufungwa kimoja Santiago! Loser......!
 
Mnafurahi kutobolewa na Madrid kimoja? Yani nyie hamuoni ata aibu...! Mmedhihirisha udhaifu sn....! Mnabutuliwa kotekote na Madrid Alafu Eti mnajifariji kwa kufungwa kimoja Santiago! Loser......!

Mbona hutulii? Unawashwa?
 
Nawashwa kuja kuwatoboa.... Msimu uliopita niliwatoboa kotekote na safari hii mjiandae....! Nakuja Bwana wenu..!

Mimi nadhani ingekuwa busara zaidi kuyaongea maneno hayo baada ya mechi,unachokifanya saivi ndo uleule ushabiki wa kiswahili wa Simba na Yanga,BADILIKA!
 
Mimi nadhani ingekuwa busara zaidi kuyaongea maneno hayo baada ya mechi,unachokifanya saivi ndo uleule ushabiki wa kiswahili wa Simba na Yanga,BADILIKA!

Wewe ulifikiri Mimi Mzungu? Wenzako Mbona wasema wanatufunga kabla ata ya Mpira kuchezwa hao sio waswahili? Au kwasababu wao Ni loser Wenzako? Tutakwenda sawa tu..! Mkirusha maneno na sisi tutarusha maneno...!
 
Player of the month
(October) standard chartered
 
Attachments

  • 1415370368096.jpg
    1415370368096.jpg
    47.3 KB · Views: 71
  • 1415370402032.jpg
    1415370402032.jpg
    102.6 KB · Views: 63
nshasema na ntasema siku zote...HOFU YA LIVER NI ASERNAL TU UK SIO HAO WADUDU WENGINE,,MAN CITY,CHELSEA...HATAKAMA TUNGEKUA WABOVU KIASI GAN LAKIN CHELSEA KWA LIVER NI MCHUMBA TU..."JMOSI INIHUKUMU"

acha kushabikia liver utakuja kujinyonga bure kaka
 
Mmeanza kuingiwa hofu...!!! Tulieni tu mabwana zenu kesho Tunakuja....! Mwanamke akiole sharti asilale na pichu....! Mabwana zenu Tunakuja kwa wake zetu zingatieni masharti ya ndoa...!

Cc: nyangelekene

UTAJUA jmoc kati ya liver na chelsea na bwana....balotel lazima amtoboe mtu mchana kweupe..watoto wadogo kupata mafanikio juz mnapiga kelele mtaan
 
acha kushabikia liver utakuja kujinyonga bure kaka

kwa lipi jamaa ad nijinyonge...kama ulishndwa kujinyonga ww ambae imekuchukua nusu karne kunyanyua kombe
...teh tehh tehhteh tulia jamaa kesho sio mbal utaelewa nacho maanisha
 
Back
Top Bottom