“To think I've played 300 times for the club is an amazing feeling. It doesn't feel like 300 at all but it's flown by.” [emoji3590] 'It's flown by!' - Trent Alexander-Arnold reflects on 300 Liverpool appearances - Liverpool FCView attachment 2893013
Hamna bwana😂😂Hahaha
Angeenda kinyume na TAA hopefully asingekuwa anajua kubangilia mabandiko,
Mapenzi”
Hata sina roho ngumu Nkamu wangu😂😂😂Nkamu una roho ngumu wewe😂
Hapo unadhani kocha atakuwa nani?
Halafu nimekumiss Nkamu mwee
Fanya namna.
Nkamu jamaniHata sina roho ngumu Nkamu wangu😂😂😂
Sijajua atakua nani but kwa mawazo yangu tukienda na Pep Lijnders nadhani tutakua kwenye "laiti traki" as amefanya kazi na Klopp muda mrefu, anakijua kikosi vizuri pamoja na mbinu za ushindi.
Nimekumiss pia Nkamu ngoja nifanye jambo muda sio mrefu.
Ha ha ha ha ha ha!!Nkamu jamani
Huyo Pep mbona hata sura yake tu haijakaa kikocha
Yupo kama mkulima mwenzetu wa viazi kule Mwakaleli 😆
Arsenal Wana bahati Sana dogo kapata msiba....alichowafanya Chelsea ilikuwa mbaya Sana hata Arsenal wanatetemekaOur thoughts and prayers are with the family of Conor Bradley, whose father Joe has passed away on Saturday morning following a battle with illness.
You'll never walk alone, Conor [emoji3590]
Hata Gerrard naye si mnamkadiria kwa muonekano Nkamu😂Ha ha ha ha ha ha!!
Usijudge kwa muonekano Nkamu 😂
Bwana atamvusha katika kipindi kigumuOur thoughts and prayers are with the family of Conor Bradley, whose father Joe has passed away on Saturday morning following a battle with illness.
You'll never walk alone, Conor [emoji3590]
Hamna bwana[emoji23][emoji23]
King Ngwaba anaujua mpira sana
Kwa muda niliomsoma yaani ni mwamba sana hana mbambamba [emoji1787]
Arsenal Wana bahati Sana dogo kapata msiba....alichowafanya Chelsea ilikuwa mbaya Sana hata Arsenal wanatetemeka
Hata Gerrard naye si mnamkadiria kwa muonekano Nkamu[emoji23]
Bwana atamvusha katika kipindi kigumu
Leo upande wa TAA , ataanza Martinel na huwa anatabia ya kusumbua sana ..Sidhani hata sub atakuwepo. Najua Klopp atakaa nae na amuulize unaweza kucheza? Akikubali na ikiwa Klopp alimuweka kwenye homework yke vs Arsenal atacheza. Scenario kama hizo zimetokea na watu wakacheza.
Beckor alifiwa na baba yke akacheza 2021’
Klopp alibaki kwenye touchline kwenye msiba wa mama yke 2021’
Kipindi cha covid’
Watu wanasikitika kumkosa Bradley leo wanasahau Trent yupo, hofu yao ni art of defending ya trent, weakness inalazimisha wachezaji baadhi ya wachezaji kuongezewa majukumu
Konate (anacheza close to trent as 4)
Szobo (anacheza RHS).
Anyway kikubwa tushinde, hata akicheza adrian as RB.
YNWA
Hivi una habari mna wachezaji wenu watatu, ambao ndo engine ya katimu kenu hawatakuwepo mchezoni?[emoji23]Pale unfield mlijitahidi kubana, Sasa leo mnakuja gheto. Mseme wenyewe tuwapige ngapi?
Saint Anne anzisha kikao na wenzako, tunahitaji majibu
Yupo vizuri sanaNakubali. Ni moja ya kops wa muda mrefu humu.
Trent yupoSidhani hata sub atakuwepo. Najua Klopp atakaa nae na amuulize unaweza kucheza? Akikubali na ikiwa Klopp alimuweka kwenye homework yke vs Arsenal atacheza. Scenario kama hizo zimetokea na watu wakacheza.
Beckor alifiwa na baba yke akacheza 2021’
Klopp alibaki kwenye touchline kwenye msiba wa mama yke 2021’
Kipindi cha covid’
Watu wanasikitika kumkosa Bradley leo wanasahau Trent yupo, hofu yao ni art of defending ya trent, weakness inalazimisha wachezaji baadhi ya wachezaji kuongezewa majukumu
Konate (anacheza close to trent as 4)
Szobo (anacheza RHS).
Anyway kikubwa tushinde, hata akicheza adrian as RB.
YNWA