Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nkamu una roho ngumu wewe😂
Hapo unadhani kocha atakuwa nani?

Halafu nimekumiss Nkamu mwee
Fanya namna.
Hata sina roho ngumu Nkamu wangu😂😂😂
Sijajua atakua nani but kwa mawazo yangu tukienda na Pep Lijnders nadhani tutakua kwenye "laiti traki" as amefanya kazi na Klopp muda mrefu, anakijua kikosi vizuri pamoja na mbinu za ushindi.

Nimekumiss pia Nkamu ngoja nifanye jambo muda sio mrefu.
 
Nkamu jamani
Huyo Pep mbona hata sura yake tu haijakaa kikocha
Yupo kama mkulima mwenzetu wa viazi kule Mwakaleli 😆
 
LADDER.png
 
Our thoughts and prayers are with the family of Conor Bradley, whose father Joe has passed away on Saturday morning following a battle with illness.

You'll never walk alone, Conor [emoji3590]
Arsenal Wana bahati Sana dogo kapata msiba....alichowafanya Chelsea ilikuwa mbaya Sana hata Arsenal wanatetemeka
 
Sidhani hata sub atakuwepo. Najua Klopp atakaa nae na amuulize unaweza kucheza? Akikubali na ikiwa Klopp alimuweka kwenye homework yke vs Arsenal atacheza. Scenario kama hizo zimetokea na watu wakacheza.

Beckor alifiwa na baba yke akacheza 2021’
Klopp alibaki kwenye touchline kwenye msiba wa mama yke 2021’

Kipindi cha covid’

Watu wanasikitika kumkosa Bradley leo wanasahau Trent yupo, hofu yao ni art of defending ya trent, weakness inalazimisha wachezaji baadhi ya wachezaji kuongezewa majukumu

Konate (anacheza close to trent as 4)
Szobo (anacheza RHS).

Anyway kikubwa tushinde, hata akicheza adrian as RB.

YNWA
 
Leo upande wa TAA , ataanza Martinel na huwa anatabia ya kusumbua sana ..
Kumkosa dogo itakuwa pigo ...mechi ya FA ..Martinel alipoingia alileta usumbufu sana mpaka dogo alipoingia na kumfunga break ..

Ila najua Liver watapiga game la hatari hivyo sina wasiwasi sana
 
Pale unfield mlijitahidi kubana, Sasa leo mnakuja gheto. Mseme wenyewe tuwapige ngapi?
Saint Anne anzisha kikao na wenzako, tunahitaji majibu
Hivi una habari mna wachezaji wenu watatu, ambao ndo engine ya katimu kenu hawatakuwepo mchezoni?[emoji23]

Pona yenu ni muombe huruma angalau tuwaweke goli tatu tu.

Tupo full mtutu [emoji91][emoji91]..kichapo kipo palepale.
 
Sidhani hata sub atakuwepo. Najua Klopp atakaa nae na amuulize unaweza kucheza? Akikubali na ikiwa Klopp alimuweka kwenye homework yke vs Arsenal atacheza. Scenario kama hizo zimetokea na watu wakacheza.

Beckor alifiwa na baba yke akacheza 2021’
Klopp alibaki kwenye touchline kwenye msiba wa mama yke 2021’

Kipindi cha covid’

Watu wanasikitika kumkosa Bradley leo wanasahau Trent yupo, hofu yao ni art of defending ya trent, weakness inalazimisha wachezaji baadhi ya wachezaji kuongezewa majukumu

Konate (anacheza close to trent as 4)
Szobo (anacheza RHS).

Anyway kikubwa tushinde, hata akicheza adrian as RB.

YNWA
Trent yupo
Hakuna kinachoshindikana
Kwani na yule tolu Quansah si yupo?

Kati Thiago anaongezeka

Mbele mtu katili jota yupo..
Leo sijui ataanza na nani kati ya Diaz,Nunez na Gakpo.

Arse 8 leo watalia na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom