Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata shuti moja la mchongo hamjapiga.Mitakataka inajifunga
Na bado
Subirini tuwaweke kipindi cha pili
Ndo tushawafungaHata shuti moja la mchongo hamjapiga.
Leo mkitoka mkatambike.
Mbona tayali watatuHivi Klopp anasubiria Nini kufanya sub?
Au anataka hadi tufungwe?
naona beka kamuachia home boy afungeSubiri mtaona
Sisi hatunaga haraka masilent killer
naona beka kamuachia home boy afunge
Makosa mpirani ni kawaida, kosa alilofanya ni sawa na saliba hayawaondolei ubora.Li Allison ni takataka
Heri angedaka Kelleher ambaye mnamponda kila siku
Hana fitnessAngewekwa hata Thiago kuliko greve