Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Walitufungajefungaje Hawa kwny FA cup aisee🤠🤠🤠...ile mechi iliniuma sana aisee....yaani tumekosa magoli kama afu kumi hivi halafu wao wakashinda kienyejienyeji tu
This time kwenye FA lazima tuwakune
 
Mlituzoea sana nyie KENGE,niliandika humu asubuhi leo kwamba labda MSHINDE NJAA,kenge nyinyi
 
GRAVENBERCH [emoji16][emoji16][emoji16] Nilishasema na nitaendelea kusimamia nilichowahi kusema, This man has no Mentality for a top team like LFC.

GRAVENBERCH is the worst signing in recent years .
 
Ha ha ha haaaa we jamaa huchelewi

Kakosea nini Leo?
Gravenberch kucheza upande mmoja na Trent...
Ukicheki rekodi za Domy akicheza na Trent utaona ana tackle, block, sprint nk sasa Gravenberch anajua tu ku dribble tu...
Ki ukweli leo tumesinzia kazini kabisa ningeshangaa sana hii gemu Arsenal watoke sare tupo weupe vile

YNWA
 
It could have been more, Arsenal walikosa ukatili mwingi.


Hii mechi huwezi kujua uanzie wapi na uishie wapi, ila ni siku mbaya sana ofisini.

Bado narudi pale pale, kosa analofanya Klopp ni kulazimisha wengine wafanye kazi mara mbili mbili ili tu Trent asiwe kwenye mitego ya kusumbuliwa.

Inabidi Konate afanye kazi mara mbili, na yeyote atatakaye kaa upande wa Taa afanye kazi mara mbili. Ime tugharimu leo Konate kadi nyekundi. Trent amepikwa sana na Martinelli not only him imekuwa hivyo misimu yote tu.

Trent ni moja ya wachezaji wameumia mno kuondoka kwa Klopp, makosa yale na kwa top top manager unasugua bench tu tumeona hivyo kwa kina Conte, Tuchel, Pep, Mou ila kwa Klopp anatafuta namna Trent acheze hata kwa kuwaumiza wengine. Na bad thing amekataa ku improve defensively kwa itategemea na kocha ajaye.

Ngumu kuona madhara ya Trent lkn yeyote atakaye cheza no. 4 au RCM lazima afanye kazi mara mbili. Sasa leo imekuwa balaa zaidi kwa kuanza Graven , da da da.

We were poor overall my best player on the pitch today was Macca.

N.B Nunez anakosa magoli sana lakini huwezi kumuondoa kwenye wachezaji hatari pale LFC, Saliba and Gabriel wali relax vya kutosha leo mpaka alipoingia Nunez timu ikaanza kupata njia, ila hivyo ukiwa na siku mbya ni mbya tu.
Magoli tuliyofungwa dah.!!! Ni aibu
 
GRAVENBERCH [emoji16][emoji16][emoji16] Nilishasema na nitaendelea kusimamia nilichowahi kusema, This man has no Mentality for a top team like LFC.

GRAVENBERCH is the worst signing in recent years .

Haupo mbali na ukweli.

Moja ya wachezaji hatima yao haieleweki basi Gravenberch ni miongoni mwa wachezaji hao. Ngumu kuamini lakini mchezaji mwingine anaweza kuwa na wakati mgumu basi ni trent.

Kocha ajaye labda ajue namna ya kumpika defensively na amtumie kwenye kiungo lkn hivi hivi, Trent atapitia kipindi ambacho wengi hawataamini.
 
GRAVENBERCH [emoji16][emoji16][emoji16] Nilishasema na nitaendelea kusimamia nilichowahi kusema, This man has no Mentality for a top team like LFC.

GRAVENBERCH is the worst signing in recent years .

Haupo mbali na ukweli.

Moja ya wachezaji hatima yao haieleweki basi Gravenberch ni miongoni mwa wachezaji hao. Ngumu kuamini lakini mchezaji mwingine anaweza kuwa na wakati mgumu basi ni trent.

Kocha ajaye awe mvumilivu na ajue namna ya kumpika defensively na amtumie kwenye kiungo lkn hivi hivi, Trent atapitia kipindi ambacho wengi hatutaamini.


Trent is a good football offensively lkn defensively already proved failure sasa kupata ubora wake ni uwe na jitu RCM na DM awe jitu kazi itakuwa rahisi na ubora utaonekana, lkn kwa nini ulimit uwezo wa wengi kwa ajili yake?? Solution ni trent acheze offensively totally. I wish to see Bradley as RB and Trent as RCM kwenye mechi yoyote nione how it will work. Na muda unavyozidi kusonga trent anawaza MF kuliko RB, ndicho kinamuathiri zaidi.

Elliot
McConnel
Bradley
Quansah


Aise huenda tukashuhudia vipaji vikipotea itategemea na ajaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…