Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.

Unadhani furaha yao itadumu? Keshokutwa tu watapigwa Wamtukane Arteta na Hamis77.
 
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Kati ya mechi 24 tumewafunga 3 tu. Mnategemea tukae kimya? Acha ushamba. Lazima tuwatambie mtujue sisi ni nani vikuku nyie 😄😄.

Utani pembeni, utaona kwa mashabiki wa Arsenal ushindi wa jana unawapa matumaini kuwa timu inaanza kujitambua kwa kuanza kwenda jino kwa jino na kushinda dhidi ya kina Liverpool na Man City. Zimetokea mechi ambazo tumewazidi Liverpool na City au kushibana nguvu lakini wao wakashinda au kutoa sare na takwimu zinabaki kutufanya sisi tuonekane underdogs.

Ila tunataka kuamini hali inaanza kubadilika. Sasa misimu miwili EPL tumewapiga au mmeambulia sare. Kwa maana tunaanza kupata matumaini kuwa na nyie pia tutawarejesha kuwa wateja wetu kama tulivyowafanya Chelkenge. Bado Mamacita naye. Tunataka kuamini kuwa, muda si mrefu, Arsenal ile ambayo wakina Carragher walikuwa wakienda kuangalia kalenda ya msimu, wanacheki watakutana nasi lini ili wajue ni wiki gani ya kukosa usingizi kwa stress.
 
Hii kauli ya kuwa Bingwa ni Man City ni kauli ya loser tu ambao wao wanajiona hawana uwezo wa kupambana hivyo wanakimbilia kwa City.

Ligi haijawa closed race kiasi ya kwamba Man City anakimbia one horse race.

Ligi ipo Open hata Liverpool anaweza kubeba Ubingwa.

Tena ukiangalia kwa makini hii second round vile visiki vyote Man City, Chelsea, Spurs, Brighton, Newcastle ratiba imewataka waje Anfield.

Strong game ambayo Liverpool anayo Away ni Manure pekee baada ya hii ya Arsenal.

Hivyo namalizia kusema Ubingwa bado upo Open.
Chukueni ubingwa wazee. Siyo lazima City achukue, ameshauzoea. Sasa tumemletea ushindani.
 
F.c Lia Lia

[emoji599] Klopp: “A lot of things went against us”.

“This referee gave me red card against City for wrestling situation - Bernardo & Salah”.

“Today same with Jota that didn’t get a red card. Unbelievable”.

“Holding by Havertz on Konate… Gabriel did same with Nunez, no yellow card”.
Klopp aache kulalamika akubali matokeo
 
Kocha aliyechezesha ni wa arse8
Linatoa kadi sehemu sizizo za kadi
F.c Lia Lia

[emoji599] Klopp: “A lot of things went against us”.

“This referee gave me red card against City for wrestling situation - Bernardo & Salah”.

“Today same with Jota that didn’t get a red card. Unbelievable”.

“Holding by Havertz on Konate… Gabriel did same with Nunez, no yellow card”.
 
Manga ML tunakusalimu brother😂😂
Hapo vipi?unnaionaje timu bila ya Salah?

Kule jukwaa la Arsenal walikuwa wanalialia wanamuogopa Salah..na kweli akawatenda.

Ila Kuna watu tena Wanaliver wanakuja kusema eti bila Salah timu inacheza tu vizuri 😂😂
Nilicheka sana nikajisemea moyoni subiri mechi ije tufungwe.

Jana wote nadhani tumeona umuhimu na gap la Salah.

Salah msimu Jana ameibeba timu mabegani,timu ikiwa hoi mahututi...muda wote ni wa moto,tofauti na akina Jota ambao itategemea ameamka vipi.
Na nakumbuka niliwajibu vizuri tu kuwa Salah hana mechi kubwa kwake zote ni ndogo sio kama hawa wengine ndani ya dakika 90 wanapiga only one on target na goli lenyewe wamefungiwa na Arsenal.

Last game dhidi ya Arsenal kila mmoja aliona alichokifanya Salah.

Sasa Saint Anne tuwasubiri hapa waje wamwage sifa za game ya jana kuwa Liverpool imecheza vizuri bila ya Salah si walihadaiwa na game za Carabao na FA.
 
Timu muda wote wanalia
Ni vichapo tu

Acha wasafishe nyota😂😂😂


Ukipita jukwaani kwao utaona sasa wanavyomsikiliza Hamis akichambua,anawaambia EPL wanaibeba😂
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka
 
Jamaa yupo Slow sana
Lakini huwezi kumlaumu,bado ana muda.
Ndio kwanza hajamaliza hata msimu mmoja tangu aje.

He has room ila wasi wasi wangu ni kuondoka kwa Klopp je, ajaye atamvumulia? Silaha kubwa kwa Klopp ni uvumilivu aisee

Labde aje ajae kwenye mfumo kwa haraka anaweza kubaki.
 
Umeongea vizuri sana
Ila hujamgusa Allison mwanzo mwisho.

Hahah…!!! Bad day in a office Alisson ni moja ya siku mbaya sana kwake. Na ndivyo anacheza siku zote sema makosa yke mengi huwa anayafuta mwenyewe. Ni moja ya wachezaji kulaumiwa ni nadra mno hata akiharibu. Kazi anayopiga Alison sio kitoto, japo haiondoi aliharibu zaidi jana.

Wachezaji wanaoongoza kupokea lawama:

Nunez
Vvd
Trent
Salah
Gomez

Hawa jamaa makosa yao huwa yapo wazi mno machoni mwa mashabiki.


Ila kwa jana tukubali tu we were merely poor. Aina ya magoli tuliyofungwa unaona kama wachezaji hawakufanya warm up wamekurupuliwa humo basi tuingia tuchezeni.

Haya hivyo Arsenal hawakuwa wenye ubora huo, kama ni timu iliyokuwa bora tunge aibika sana. Mechi ya jana unakutana na Brighton unadhalilishwa,good thing tulikutana na mkubwa mwenzetu ambae hana madhara apato nafasi.

YNWA
 
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,[emoji3]. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.

Kumfunga Liverpool inabidi awe kwenye ubora wa ubovu wako ndio utamfunga. Inabidi timu iwe hovyo sana ndio inakuwa nafuu kwako.

Jana timu nzima ilikuwa mbovu, magoli tuliyofungwa yanakupa picha halisi. Mimi ninaamini tumefungwa sio kwa ubora wa Arsenal bali kwa ubovu wa wetu. Ubovu wetu umetufungusha.

Arsenal tried their best level and it paid them.
 
Mkuu hii game ilikuwa tricky sana kwetu Arsenal acha tufurahi.

Mngetufunga gape lingekuwa points 8. Na City bado angetuacha zaidi.So ushindi ulikuwa muhimu zaidi kuzingatia hilo.

Mengine ya kawaida tu kwa timu bora zikukutana.

Pia Bingwa ni City msimu huu kila mtu anajua hilo.

As long as hajaumia na maamuzi ya marefa bado odds zipo upande wake kubwa unlike their rivals.

Na imeleta ladha ya ubingwa. Atleast ni msimu bingwa atatoka jasho kweli kweli
 
Klopp aache kulalamika akubali matokeo

Media zinaamua kuchagua cha kusemea
69403ee6-29af-43a5-bbec-bb591439fb54.jpg

Kwa nini hawajachukua hii? Wamechukuwa sehemu tu ya alichoongea ambacho kitawapa mauzo.
 
Ila kiukweli mtindo wa Allison kutoka nje ya goli na kukaa karibia katikati ya uwanja ,utadhani naye ni beki aisee hii tabia inanikera sana.

Mechi vs Brighton tulifungwa na hiyo staili.
Alison hatoki tu kwa maamuzi ni maagizo kwa Klopp. Anasogea juu kuongeza idadi kubwa ya wachezaji. Anakuwa kama extra central defender ili kuruhusu kiungo (mara nyingi no. 6) kusogea juu kuongeza idadi ya wachezaji mbele. Ni risk sana sana, na hii inahitaji GK mwenye footwork nzuri ambayo Alison hana ni mdhaifu kwenye mguu. Mechi ya City alitoa pasi fyongo ikatugharimu, mechi vs Brighton staili hiyo ikatigharimu, jana pia.

Unahitaji Gk mwenye uwezo mguuni sana na hii inalipa sana kama una timu nzuri. Waangalia man city wakikutana ni mbinu ngumu na timu ngumu mathalani our last match with them (1-1) Ederson alitutesa sana na mipasi yake ile sana. Sasa unahitaji GK wa hivi kwa mbinu hiyo ina work vizuri, footwork wazuri kama Onana, Pickford, Ramsdale, Vicario na wengine
 
Back
Top Bottom