King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Unadhani furaha yao itadumu? Keshokutwa tu watapigwa Wamtukane Arteta na Hamis77.