arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Huu ndiyo ukweli...Liverpunda sasahv pumzi ya kucheza na Arsenal hamna...mkishazuiwa kupiga Counter attack tu hamna la maana mnalofanya....na juzi ndo kilichotokea....mlitakiwa muanze kuwa na wasiwasi tangu mlivyoshinda kimagushi kwny me hi ya FA cup pqle Emirates...ila kwakuwa nyny ni majeuri sasahv inatakiwa tuwageuze koloni letu kama ChelkengeKweli pombe siyo maji😂
ndicho kitakachowakuta hawa kuku kwa misimu si chini ya 10 ifuatayo. Watageuka kituo chetu cha kujichukulia point 3Huu ndiyo ukweli...Liverpunda sasahv pumzi ya kucheza na Arsenal hamna...mkishazuiwa kupiga Counter attack tu hamna la maana mnalofanya....na juzi ndo kilichotokea....mlitakiwa muanze kuwa na wasiwasi tangu mlivyoshinda kimagushi kwny me hi ya FA cup pqle Emirates...ila kwakuwa nyny ni majeuri sasahv inatakiwa tuwageuze koloni letu kama Chelkenge
Mimi nnacho amini tutakua Tim ya makombeSijui kwa nini siwazi kama tutarudi huko,naweza kuwa miongoni mwa wachache kwenye wengi.
We will be there still, labda wamlete Gerrard.
Ikiwa watamchukua
Alonso
El cholo bado tutakuwa huko juu
YNWA
Mkuu unasema timu apewe El Cholo Diego Simeon au mazima kwa Alonso homeboy na fan favourite....Mimi nnacho amini tutakua Tim ya makombe
Tim ni mzunguluko wa watu kumtegemea 1 tu silipendi
Alivo ondoka Buvak Tim iliyumba mpaka alivyo kuja Lijernder ikakaa sawa
For sure, I'm optimistic that Xabi won't turn down our offer, he's molding Leverkusen into a unique club with a Klopp like essence. Xabi embodies attributes similar to Klopp.
Mkuu unasema timu apewe El Cholo Diego Simeon au mazima kwa Alonso homeboy na fan favourite....
YNWA
Tetesi anachukuliwa yule wa Westham ndio aje ofisi ya Edwards...Any i will accept.
Kikubwa pale kwenye office ya Edward ipate kichwa cha maana..!!!
Alonso ameonyesha ubora kwa Sasa hao wengine ni mpaka atukatae yeyeMkuu unasema timu apewe El Cholo Diego Simeon au mazima kwa Alonso homeboy na fan favourite....
YNWA
Ataondoka na tutazoea tuKuondoka kwa Klopp kunaninyima usingizi kwakweli.
Yani kila nikikumbuka Dark Ages tulizopitia basi nakosa Amani.
Tetesi anachukuliwa yule wa Westham ndio aje ofisi ya Edwards...
YNWA
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool midfielder Thiago Alcântara is facing another spell on the sidelines…
…it happens after suffering a new muscle injury in his comeback game against Arsenal, reports The Times.
Anachukua hela za bule huyu Wala sio wakumtaja tena kikosini[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool midfielder Thiago Alcântara is facing another spell on the sidelines…
…it happens after suffering a new muscle injury in his comeback game against Arsenal, reports The Times.
Huyu mwamba alikuwa [emoji91][emoji91][emoji91]
Penalty aliyompigia Dida mwaka 2005 (Dida) hatoisahau maisha yake yote.
Madogo wa 2000 mutulie tu [emoji23]
View attachment 2898502
Djibril Cisse
Hivi tunakuja lini tena Anfield. Yaani sasa hivi ni wazi kabisa kuwa tunaelekea kukibadilisha hichi kiwanja cha mavumbini cha liverpool kuwa tawi la emirates kama tulivyofanya Stamford Bridge na Old Trafford.Huu ndiyo ukweli...Liverpunda sasahv pumzi ya kucheza na Arsenal hamna...mkishazuiwa kupiga Counter attack tu hamna la maana mnalofanya....na juzi ndo kilichotokea....mlitakiwa muanze kuwa na wasiwasi tangu mlivyoshinda kimagushi kwny me hi ya FA cup pqle Emirates...ila kwakuwa nyny ni majeuri sasahv inatakiwa tuwageuze koloni letu kama Chelkenge
Kwa kua wanalifahamu kwa muda tu suala la DF ni kazi kwao kutuletea mtu makin, sahihi na apewe mkataba wa kueleweka na pia asiingiliwe aachwe afanye kazi bila kuingiliwa na wengine...Huyo wa westham amefanya madeals mazuri, nilileta habari yake last week. Sema sasa ndio kwanza wamemchukua msimu huu ngoja tuone wataweza vipi kumchomoa pale Westham. Japo Sporting director sio mchezaji muda wowote tu anaondoka akishindwana na ma boss au ofa nzuri ikija