Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli pombe siyo maji😂
Huu ndiyo ukweli...Liverpunda sasahv pumzi ya kucheza na Arsenal hamna...mkishazuiwa kupiga Counter attack tu hamna la maana mnalofanya....na juzi ndo kilichotokea....mlitakiwa muanze kuwa na wasiwasi tangu mlivyoshinda kimagushi kwny me hi ya FA cup pqle Emirates...ila kwakuwa nyny ni majeuri sasahv inatakiwa tuwageuze koloni letu kama Chelkenge
 
ndicho kitakachowakuta hawa kuku kwa misimu si chini ya 10 ifuatayo. Watageuka kituo chetu cha kujichukulia point 3
 
Sijui kwa nini siwazi kama tutarudi huko,naweza kuwa miongoni mwa wachache kwenye wengi.

We will be there still, labda wamlete Gerrard.

Ikiwa watamchukua

Alonso
El cholo bado tutakuwa huko juu

YNWA
Mimi nnacho amini tutakua Tim ya makombe
Tim ni mzunguluko wa watu kumtegemea 1 tu silipendi
Alivo ondoka Buvak Tim iliyumba mpaka alivyo kuja Lijernder ikakaa sawa
 
Mimi nnacho amini tutakua Tim ya makombe
Tim ni mzunguluko wa watu kumtegemea 1 tu silipendi
Alivo ondoka Buvak Tim iliyumba mpaka alivyo kuja Lijernder ikakaa sawa
Mkuu unasema timu apewe El Cholo Diego Simeon au mazima kwa Alonso homeboy na fan favourite....

YNWA
 
For sure, I'm optimistic that Xabi won't turn down our offer, he's molding Leverkusen into a unique club with a Klopp like essence. Xabi embodies attributes similar to Klopp.

Mie ni miongoni mwa ninaomini Alonso anaweza kutupa makombe na utajiri wa soka zuri licha ya kukosa uzoefu pale EPL, every good coach has a begging its matter of potential.

Niliangalia interview ya Alonso ooh goshh nikaona yes huyu ndiye anaweza kuendeleza jahazi.
Alonso anakuwa ni kuhusu Space and Time, sio muumini sana wa mifumo, ila ubora wa wachezaji ndio unakupa ukitakacho na anajaribu kuona ubora wa mchezaji na autumie vipi kunufaisha timu.
Alonso anakuambia the more passes we give on the pitch of their half, the better the position will be for the gegenpressing. Utaona hapa kwa nini wanasema Alonso ni mixer ya Klopp na Pep. Pep ni muumini wa spaces na time ni muumini wa pass nyingi kwenye eneo la uwanja na hasa kwenye nusu ya mpinzani. Klopp ni muumini wa pressing sio pass nyingi, Xabi akamchukua pep na Klopp akapata mbinu yake. And of course makocha wengi wa sasa ni wanachukua ya huku na huku ana changanya anapata mbinu yake.

Alonso anakuambia ukianza kucheza kwa umbali (mchezaji na mchezaji) na kwa haraka sana, mtakuwa mpo mbali mbali sana kutoka mchezaji mmoja kwenda kwa mwingine na mistari inakuwa mbalimbali pia. (Yaani utakuta kuna gape toka kwa beki wa kati na wa pembeni kutoka kiungo na winga) hivyo Alonso anakuambia hamuwezi kucheza gegenpressing ipasavyo. Hii ndio falsafa ya Alonso

SPACES & TIME

Anaamini ukitumia nafasi sahihi kwa wakati sahihi ndio mpira wenyewe hii mifumo ni kama ramani tu inakusaidia kuendesha mbinu zako.

Alonso sio muumini wa majina makubwa ya wachezaji, anaamini katika uwezo wa mchezaji na sio jina.

Naamini ujio wake utashawishi kina Salah, Vvd na wengine kuongeza kandarasi.

Mf. Unampata Alonso na Edward as Sporting director, combination ya Klopp’s successor.

YNWA
 
Ladder.png
 
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool midfielder Thiago Alcântara is facing another spell on the sidelines…

…it happens after suffering a new muscle injury in his comeback game against Arsenal, reports The Times.
 
Tetesi anachukuliwa yule wa Westham ndio aje ofisi ya Edwards...

YNWA

Huyo wa westham amefanya madeals mazuri, nilileta habari yake last week. Sema sasa ndio kwanza wamemchukua msimu huu ngoja tuone wataweza vipi kumchomoa pale Westham. Japo Sporting director sio mchezaji muda wowote tu anaondoka akishindwana na ma boss au ofa nzuri ikija
 
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool midfielder Thiago Alcântara is facing another spell on the sidelines…

…it happens after suffering a new muscle injury in his comeback game against Arsenal, reports The Times.
Anachukua hela za bule huyu Wala sio wakumtaja tena kikosini
 
Huu ndiyo ukweli...Liverpunda sasahv pumzi ya kucheza na Arsenal hamna...mkishazuiwa kupiga Counter attack tu hamna la maana mnalofanya....na juzi ndo kilichotokea....mlitakiwa muanze kuwa na wasiwasi tangu mlivyoshinda kimagushi kwny me hi ya FA cup pqle Emirates...ila kwakuwa nyny ni majeuri sasahv inatakiwa tuwageuze koloni letu kama Chelkenge
Hivi tunakuja lini tena Anfield. Yaani sasa hivi ni wazi kabisa kuwa tunaelekea kukibadilisha hichi kiwanja cha mavumbini cha liverpool kuwa tawi la emirates kama tulivyofanya Stamford Bridge na Old Trafford.
 
Huyo wa westham amefanya madeals mazuri, nilileta habari yake last week. Sema sasa ndio kwanza wamemchukua msimu huu ngoja tuone wataweza vipi kumchomoa pale Westham. Japo Sporting director sio mchezaji muda wowote tu anaondoka akishindwana na ma boss au ofa nzuri ikija
Kwa kua wanalifahamu kwa muda tu suala la DF ni kazi kwao kutuletea mtu makin, sahihi na apewe mkataba wa kueleweka na pia asiingiliwe aachwe afanye kazi bila kuingiliwa na wengine...

YNWA
 
Back
Top Bottom