Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Our games to drop points
Vs Man United old Trafrd
Vs Man City Anfield
Vs Spurs Anfield
Vs Everton Goodison

Ubingwa utategemea pia form ya City hizo game

Nb: City akiwa form anachukua point zote na hizo timu hasa ikiwa ni Etihad

Mpaka sasa City ana % kubwa kubeba ubingwa sisi wengine tunamkimbiza tuu
 
Gemu 4 zote tu drop points aafu hujaweka zile wild cards akina Brighton nk mbona huo ubingwa tutakua hatupo tena tuusahau tu...
Ni open race kati ya Liverpool, Manchester City na Arsenal anaweza kuchukua cha msingi ni sisi kuhakikisha hatu drop point kwa other top 4 racers kama Spurs, Citizens na hawa nje ua top 4 tukomae ushindi na sio sare maana katika misimu ile tuliokimbizana na Kipara kilchokua kinaharibu mishe ni hizi sare...

YNWA
 
Man city vs liverpool
Man city vs Arsenal

Hizo mechi ndio zitaamua bingwa nani.
Too bad combination ya Halaand na Debruyne imeanza kuonekana kurejea kwa kasi kali sana, sasa ikiwa ndio hivyo itakua balaa kubwa maana sioni wa kumzima Kipara, sana sana labda anaweza kupata changamoto mechi hizi
Liverpool vs Manchester City
Tottenham vs Manchester City
Arsenal vs Manchester City.

YNWA
 
Sioni dalili za kuchukua hata point moja Etihad.
 
[emoji599] ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Mo Salah returns to full team training and he’s finally available again! [emoji837][emoji1093]

Excellent news for Liverpool ahead of the next games as Salah, Alisson, Joe Gomez, Conor Bradley are back.

…how many goals will Mo score in 2024? [emoji102][emoji92]
 
HAKUNA HAKUNA ,kitu kama hichi, EPL ni Marathon ,Matokeo yoyote yanaweza kutokea popote kwenye Mechi yoyote ile, EPL haijawahi na haitakuja kuwa Certain kirahisi rahisi hivyo.
On paper Arsenal, Manchester City, Liverpool Hakuna mwenye game rahisi kuliko mwingine, On paper tuna mechi ngumu wote.

LIVERPOOL FC, tunayo squad ya ku-overcome mechi zote zilizobaki bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…