Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....
Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.
Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa
Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah
Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished
YNWA