Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji599] ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Mo Salah returns to full team training and he’s finally available again! [emoji837][emoji1093]

Excellent news for Liverpool ahead of the next games as Salah, Alisson, Joe Gomez, Conor Bradley are back.

…how many goals will Mo score in 2024? [emoji102][emoji92]
GOOD
 
Sven-Goran Eriksson recently said he always wished to be Liverpool manager one day… and Liverpool now confirm that Eriksson will be part of the Legends management team for the game against Ajax Legends at Anfield, on 23 March.
 
Sioni dalili za kuchukua hata point moja Etihad.
Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....

Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.

Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa

Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah

Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished

YNWA
 
Basi kama ni Anfield kipara hana bahati safari hii.
 
Grau said:
Xabi Alonso could reject Liverpool to manage Premier League rivals [Guillem Balague
Huyu ni credible source. FSG waache ubahiri mapema kam wamemkumbali bwana mdogo wapeleke ofa.

YNWA
 
Basi kama ni Anfield kipara hana bahati safari hii.
Kipara kwa sasa anachowaza ni bio gemu na wale wachezaji atawameza mazima aisee maana jamaa hua hana huruma kabisa kwa wachezaji wake anachotaka ni ushindi...

Nina imani na hio MF ikiwa Domy amepona tutakwenda nao sawa aisee.. Endo sawa ila anatabia ya kuanza gemu kwa uoga fulani fulani...

Bila kumfunga Kipara pale tutaanza ramli sasa kuombea wengine ndio wampige, cha msingi ni kila mmoja apambane ashinde mechi zake hakuna namna..

YNWA
 
Huyu hatukumwita pacha wa Elhadji Diouf kweli huyu? Ubishoo mwingi na injuries zilitunyuma kumuenjoy huyu jamaa vilivyo Premier league

Hiyo kilichomrudisha nyuma sio injury za kawaida bali ni pale Wahuni walipomvunja Mguu mpaka akakosa World Cup ya mwaka 2006 ingawa alikuwa akihitajika sana kwenye kikosi cha Ufaransa.
 
Man city vs liverpool
Man city vs Arsenal

Hizo mechi ndio zitaamua bingwa nani.
Ukiandika hivi πŸ‘‡ itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).

Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City

Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.

Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
 
Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara mojaβ€¦βœπŸ½πŸ“Œ
 
Ukiandika hivi πŸ‘‡ itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).

Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City

Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.

Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
Yah!!
Fixture ya Man city ngumu though kipara anakikosi cha kuzimudu hizo game zote.
Mpinzani wetu mkubwa bado kipara.
 
Hiyo kilichomrudisha nyuma sio injury za kawaida bali ni pale Wahuni walipomvunja Mguu mpaka akakosa World Cup ya mwaka 2006 ingawa alikuwa akihitajika sana kwenye kikosi cha Ufaransa.
Yes nimekumbuka alivunjwa mguu. Sad sana.

N'golo Kante si kamuoa ex-wife ya mwamba?
 
Kama sikosei next gemu itakua Anfied mkuu ebu tazama vizuri na ni tarehe 10/3/24....

Hapa kuna mechi kadhaa za kimataifa zinakuja cha kuombea ni kwanza majeruhi waliopo especially Domy na Salah wapone na pia hizi mechi zinazoedelea tusipate tena maumivi mapya..
Mpira dakika 90+ na ndani ya Anfied chochote kinawezakana aisee.

Mlete kipara japo wanatisha lakini hakuna namna bhana ni lazima kuwafunga hawa ili kujiweka sawa kwenye hizi mbio za ubingwa

Kikosi cha kumpiga Kipara
Allison
Bradley Konate VVD Robbo
Jones Macca Domy
Diaz Nunez Salah

Sub dakika ya 70 toa Jones weka Gapko, dakika ya 70 toa Diaz weka Jota, dakika ya 82 toa Robbo weka Gomez dakika 93 toa Domy weka Elliot
Game finished

YNWA
huu mchezo lazima Endo ahusike
 
Ukiandika hivi πŸ‘‡ itapendeza zaidi kwasababu hawa mbuzi hizi game zote wanacheza away from Etihad (against Arsenal sina uhakika kwa 100%).

Liverpool v/s Man City
Arsenal v/s Man City

Hawa Anfield uhakika hawatufundi ingawa sina uhakika kuwa tutawafunga lakini nina uhakika Emirates watafungwa.

Hivyo iwapo sisi tutashindwa kumfunga basi nasimama na Arsenal wamfunge huyu mbuzi ili bora hilo Kombe wabebe Arsenal kuliko kubeba tena Pep itakuwa ni dharau kubwa sana.
kipara abebe kuliko Arsenal aisee
 
Back
Top Bottom