arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Mkikutana na wahuni wakazizima Counter zenu nyny ni WA kawaida sana🤠🤠...na kitawaramba soon...mwizi anafukuzwa kimyakimyaZote zilizobaki ni draw na win
Sasa nyie subirini zenu mtaona.
Unadhani kombe mnatapa sasa?
Hesabu mwaka wa 20 huu.
amekuwa sio wakutegemewa tena.Thiago ameshamuambikiza huyu kuumia ovyo
Mkikutana na wahuni wakazizima Counter zenu nyny ni WA kawaida sana🤠🤠...na kitawaramba soon...mwizi anafukuzwa kimyakimya
Watu wakishindwa soka hugeukia uchawi 😂😆Kikiwakuta kile kifaduro kilichopata sisi mwezi wa 12 zile mechi za West Ham na Fulham na ile mechi Yao walotufunga pale Emirates...hakyanani Hawa tutawaokota nafasi ya nne huko....dawa waendelee kushinda mechi zao hvihvi....wakiteleza moja tu...watabadilisha upepo wa maneno hmu....sisi tunaombea Van Dijk ateguke kidogo tu halafu hyo mengine tutajuana huko mbele ya safari
Yule Van Dijk kule nyuma ndo kikwazo🤠🤠...kule mbele yule Jota kqshakwenda na maji...mm huwa simpendi yule muhuni maana ana mpira wa kulazimisha sana...ni mara chache kupotea kwny game....sasa super Captain ateguke nyonga tufunge mahesabu...ubaya ubaya tuWatu wakishindwa soka hugeukia uchawi 😂😆
Sisi tunapanga hadi watoto wa Academy na wanakiwasha
Tunatakiwa tukomae aisee. Miezi miwili iliyopita tulisahaulika kabisa. Arsenal ikaacha kutajwa katika hizi mbio. Story za mjini zikawa Liver na City tu ndiyo wako katika kinyang'anyiro. Ghafla tunaonekana tena. Tujitahidi tusipotee tena.Naona mko busy sana kutuwazia sisi, na mmeanza kuwa obsessed with us! 😂🙌
Salah hujamuona kama amerudiYule Van Dijk kule nyuma ndo kikwazo🤠🤠...kule mbele yule Jota kqshakwenda na maji...mm huwa simpendi yule muhuni maana ana mpira wa kulazimisha sana...ni mara chache kupotea kwny game....sasa super Captain ateguke nyonga tufunge mahesabu...ubaya ubaya tu
Ngoma ya watoto haikeshiTunatakiwa tukomae aisee. Miezi miwili iliyopita tulisahaulika kabisa. Arsenal ikaacha kutajwa katika hizi mbio. Story za mjini zikawa Liver na City tu ndiyo wako katika kinyang'anyiro. Ghafla tunaonekana tena. Tujitahidi tusipotee tena.
Kwa hiyo unasema unataka kupambana na kipara mwenyewe?Ngoma ya watoto haikeshi
Kwani si mmeshindwaKwa hiyo unasema unataka kupambana na kipara mwenyewe?
Salah mbio tu ndo anazozijua🤠🤠...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena paleSalah hujamuona kama amerudi
Kinatoka chuma tunaingiza chuma 😂
Vvd haumii,sahau Hilo kabisa.
Tutoeni kama mnawezaSalah mbio tu ndo anazozijua🤠🤠...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena pale
Kwa uloxhoandika kuhisu mo salah inaonesha kuukosea mpira adabu watu kama mo salah nawakumbuka ni wawili au watatu.Salah mbio tu ndo anazozijua[emoji1783][emoji1783]...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena pale
Mkuu huu ni utani tu na Shangazi yetu🤠🤠...Salah ndo Liverpool yenyewe...ila mbio anazikimbia hasa....Kwa uloxhoandika kuhisu mo salah inaonesha kuukosea mpira adabu watu kama mo salah nawakumbuka ni wawili au watatu.
Alikuwepo
ruud van neestelroy
Philipe inzaghi
Javier hernandez
Na sasa tunamshuhudia salah
Hawa ni binadam waliokuwa wanajua njia za mpira kupita so usiseme salah anachojua ni mbio tuu
Ila salah ni mtu wa matokeo panapohitajika matokeo
Tunatakiwa tukomae aisee. Miezi miwili iliyopita tulisahaulika kabisa. Arsenal ikaacha kutajwa katika hizi mbio. Story za mjini zikawa Liver na City tu ndiyo wako katika kinyang'anyiro. Ghafla tunaonekana tena. Tujitahidi tusipotee tena.
Kweli bro. Imetupa kujiamini mjini. Ukijumlisha na tulimpelekesha City na kumfunga lile goli moja, tumejioma kama tunaweza kubishana na yeyote. Arteta anasema hata mechi tulizofungwa na Fulham na West Ham ni kwa kuwa hatukutumia nafasi zetu vizuri.Mechi muliyotufunga imewaboost sana
FYI Liverpool tunacheza PL vs Luton leo na hiyo weekend nyie mtakapocheza basi hata mkishinda still mtaendelea kubakia huko huko mlipo maana mtaikuta Liverpool tayari ina points 60 kabla mcheze na Newcastle ambao sidhani kama watawaacha salama.Salah mbio tu ndo anazozijua🤠🤠...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena pale
Hata tukifeli, bingwa ni cityYule Van Dijk kule nyuma ndo kikwazo🤠🤠...kule mbele yule Jota kqshakwenda na maji...mm huwa simpendi yule muhuni maana ana mpira wa kulazimisha sana...ni mara chache kupotea kwny game....sasa super Captain ateguke nyonga tufunge mahesabu...ubaya ubaya tu
Kweli bro. Imetupa kujiamini mjini. Ukijumlisha na tulimpelekesha City na kumfunga lile goli moja, tumejioma kama tunaweza kubishana na yeyote. Arteta anasema hata mechi tulizofungwa na Fulham na West Ham ni kwa kuwa hatukutumia nafasi zetu vizuri.
Confidence ya hivi itatusaidia kama hatutapoteza mechi na timu ndogo kizembe. Tunaweza kujikuta mwezi wa tano tunapambana vilivyo na nyie na City.