Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mtu ashinde mechi zake ila kipara apigwe zake, baba ubaya nae apigwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila mtu ashinde mechi zake ila kipara apigwe zake, baba ubaya nae apigwe tu
Kwa ufupi kauli ya kila mtu ashinde mechi zake inapaswa itokee tumebakiza mechi kama 4 hivi halafu tumewaacha wapinzani kwa point zaidi ya 5, hapo ndo tunapaswa kuanza tambo 😄 🤣Hii sio habari ya kusaidiwa ni issue ya mathematically ndugu.
Kama hii umetafsiri ni kusaidiwa basi huwezi kukataa tayari Chelsea wameshatusaidia jana hivyo tukibeba ubengwa tunapaswa kuwashukuru Chelsea si ndiyo?
HAKUNA TIMU DUNIANI ILIYOWAHI KUBEBA UBINGWA WA LIGI (ISIYO NA KNOCK OUT STAGE) BILA YA KUTEGEMEA MATOKEO YA WENGINE
Narudia tena haipo hiyo Timu na kama unaamini hivyo basi unajidanganya.
Ili ubebe Ubingwa lazima wengine wafungwe na wapinzani wako! Kiufupi kwenye football lazima utaratibu wa "Enemy of your enemy is your friend" lazima utumike.
Hatuwezi wala hakuna uwezekano wa kubeba kombe bila ya kutegemea matokeo ya Timu nyengine! Hii ni principle sio mtazamo wangu.
Kwa ufupi kauli ya kila mtu ashinde mechi zake inapaswa itokee tumebakiza mechi kama 4 hivi halafu tumewaacha wapinzani kwa point zaidi ya 5, hapo ndo tunapaswa kuanza tambo 😄 🤣
Hata hivyo sisi tuna Mungu kama mwenyekiti wangu Malafyale anavyosema hahahah, sijui wao wana nani huko.
Mkuu nitazihofia timu nyingne ila sio MURIFE......😂😂😂😂
Hii Arsenal ya Dubai hakuna kima yeyote inayoqeza kuifungaUkitoa game za v/s Man City & Rent boys basi hizo nyengine zote anaweza kushinda kiurahisi tu.
Heri ingekuwa nyuzi tu,Mpira haupo hivyo! Saint Anne alipita kila Uzi kujisifu atamfunga Manure pale Anfield hatimae tukaishia kupata sare ya aibu.
Chelsea tumempiga 4 kiulaini tu lakini Man City kaishia kuitafuta Sare.
Hivyo na Manure anaweza kutufunga kirahisi sana na tukatulia tu hasa ukizingatia rekodi yetu ya msimu huu ni mbovu sana kwa hizi Timu kubwa.
Nakumbuka ulikuwa umawachezaji watano wote unawadai magoli mawili mawiliHeri ingekuwa nyuzi tu,
Nilisumbua mtaa mzima ile siku niliwabeza sana wale nyumbu na kuwakumbushia bao saba tulizowanyuka,kesho yake nikikosa pa kuficha sura yangu
Kila sehemu napigwa spana..sina hamu.
Nakumbuka ulikuwa umawachezaji watano wote unawadai magoli mawili mawili
Usijistress. Kwenye mpira raha ni ya muda mchache sana na ukiipata kidogo tu tamba. Ni kama sisi unaona jinsi tunazarura kila jukwaa? Tunawatambia maboya kwa sababu tunatembeza vipigo kama FFU. Ila tunajua tukipata hata sare tu, jukwaa letu litajaa watesi wetu mpaka tutalikimbia.Ndio nilikuwa nawatambia hivyo hivyo
Nawaambia Salah tu anayo magoli matatu hapo
Wanasema si tulisema😂Usijistress. Kwenye mpira raha ni ya muda mchache sana na ukiipata kidogo tu tamba. Ni kama sisi unaona jinsi tunazarura kila jukwaa? Tunawatambia maboya kwa sababu tunatembeza vipigo kama FFU. Ila tunajua tukipata hata sare tu, jukwaa letu litajaa watesi wetu mpaka tutalikimbia.
Kwa sasa wewe ukipita kwetu tunakuona kama chura tu. Kelele zako hazituzuii sisi tembo kunywa majiWanasema si tulisema😂
Mie siachi kutamba
Napita kuwakera arse8
Hii Arsenal ya Dubai hakuna kima yeyote inayoqeza kuifunga
Nawalia timing subiriKwa sasa wewe ukipita kwetu tunakuona kama chura tu. Kelele zako hazituzuii sisi tembo kunywa maji
Point moja tu kuipata ushaanza kujiona ligi umeipatiaNyie matakataka nawagonga wembley niwapasue
Nyie matakataka nawagonga wembley niwapasue