Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kipara Kipara Kipara na bado ata drop point sehemu ambayo hakuna mtu atakaye amini .
Hii ndio EPL haijawahi kuwa rahisi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] CHEARSSSSSSSS
Hatimaye kipara kadondosha 2 za muhimu, now nipo kwenye "Uhuru Peak" nakula baridi na "Label Nyeusi" kwa bilauri..
 
Arsenal akitoboa hapa bas ubingwa wake
Screenshot_20240217-224235.jpg
 
Ili uwe bingwa lazima uonyeshe ubabe kwa Wakubwa wenzako, sijawahi kuona bingwa anayeshinda mechi ndogo huku zile za Wakubwa wenzake akichapika.
 
Hahahaaaaaaa

Kitu pekee kwasasa tunashindwa ni kumuombea mwenzako apoteane.

Naamini na wewe unaomba tuwe katika form ili tumfunge Man City uwe juu yake.

Na mimi nakuombea uwe katika form ili umfunge Man City.

Ukweli usiofichika mimi sikuhofii wewe bali namuhofia yule Kipara kama Januari Makamba.
Na wewe hunihofii mimi bali unamuhofia Kipara.

Kipara tatizo lake hacheki na Nyani linapokuja suala la mechi hizi za kumalizia ligi 😂
 
Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na timu nyingine.
Kila timu ipambane kimpango wake.

Hii sio habari ya kusaidiwa ni issue ya mathematically ndugu.

Kama hii umetafsiri ni kusaidiwa basi huwezi kukataa tayari Chelsea wameshatusaidia jana hivyo tukibeba ubengwa tunapaswa kuwashukuru Chelsea si ndiyo?

HAKUNA TIMU DUNIANI ILIYOWAHI KUBEBA UBINGWA WA LIGI (ISIYO NA KNOCK OUT STAGE) BILA YA KUTEGEMEA MATOKEO YA WENGINE

Narudia tena haipo hiyo Timu na kama unaamini hivyo basi unajidanganya.

Ili ubebe Ubingwa lazima wengine wafungwe na wapinzani wako! Kiufupi kwenye football lazima utaratibu wa "Enemy of your enemy is your friend" lazima utumike.

Hatuwezi wala hakuna uwezekano wa kubeba kombe bila ya kutegemea matokeo ya Timu nyengine! Hii ni principle sio mtazamo wangu.
 
Ili uwe bingwa lazima uonyeshe ubabe kwa Wakubwa wenzako, sijawahi kuona bingwa anayeshinda mechi ndogo huku zile za Wakubwa wenzake akichapika.

Huyu aliyemzuia Man City tulimla 4 nadhani unakumbuka vizuri tu.

Wewe umemfunga Liverpool na Man City na Man United lakini huongoza ligi kulikoni?

  • Chelsea atakufunga
  • Man City atakufunga
  • Utamaliza msimu patupu
 
Mpaka sasa game ambayo nahisi tupo kwenye hatari ya kupoteza ni against Manure.

  • Spurs
  • Man City
Hawa ndani ya Anfield siwahofii kabisa
 
Kitu pekee kwasasa tunashindwa ni kumuombea mwenzako apoteane.

Naamini na wewe unaomba tuwe katika form ili tumfunge Man City uwe juu yake.

Na mimi nakuombea uwe katika form ili umfunge Man City.

Ukweli usiofichika mimi sikuhofii wewe bali namuhofia yule Kipara kama Januari Makamba.
Na wewe hunihofii mimi bali unamuhofia Kipara.

Kipara tatizo lake hacheki na Nyani linapokuja suala la mechi hizi za kumalizia ligi 😂
Kipara anatufanya maadui tuwe marafik. Wote tunaombeana tumfunge City na tunaombea kila atakayekutana naye amfunge au sare kama tulivyomuombea Chelkenge jana. Sisi tutajuana wenyewe kwa wenyewe mbele ya safari 😄😄
 
Kipara anatufanya maadui tuwe marafik. Wote tunaombeana tumfunge City na tunaombea kila atakayekutana naye amfunge au sare kama tulivyomuombea Chelkenge jana. Sisi tutajuana wenyewe kwa wenyewe mbele ya safari [emoji1][emoji1]
Kila mtu ashinde mechi zake basi
 
Back
Top Bottom