Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mohamed Salah has now both scored and assisted in 30 different Premier League games, only Wayne Rooney (36), Thierry Henry (32) and Alan Shearer (31) have done so more times in the competition's history.

Icon.
 
Kwahiyo alikuwa anaongea vipi na Mwalimu na wenzie?
Dah masikini kametia huruma

.ndio kama mimi leo niende uingereza
Mbona nipate tabu sana, ntakuwa naongea na Def tu.
Alivyotua ilikua Milner na Thiago ndio walikua wa nampa kampani kutafsri lakini pia back room ya Klopp iko vizuri sana kwenye hii ya lugha... Alianza Diaz kama unakumbuka.

YNWA
 
Arsenal kwamba yuko siriaz au ni nguvu ya soda tu wadau? Huyu mlugaluga anaweza kuwa contender wa title race.
 
Pole sana
Kelleher unamjua?

Haya sasa matokeo si umeyaona?
Subiri tu.
Naona mlijaribu kumpiga mtu nyingi ili mkimbie na GD. Sisi tumejitahidi pia kupiga mtu nyingi na sasa tumewapita GD kwa moja. Sasa mpango ni kuwasubiria mpigwe sisi tushinde ili tuwapite kwa points pia.

Msiwe na wasiwasi. Zile baraka zetu mchukue ubingwa bado mnazo, ila tutawafukuzia tu kwa karibu.
 
Kipara Kipara Kipara na bado ata drop point sehemu ambayo hakuna mtu atakaye amini .
Hii ndio EPL haijawahi kuwa rahisi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] CHEARSSSSSSSS
 
Back
Top Bottom