Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah mbio tu ndo anazozijua🤠🤠...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena pale

Hivi unajua kuwa mupo nafasi ya 3?

Nakushauri kwanza pigania angalau ufike nafasi ya pili ndiyo uiwaze ya kwanza.
 
Hivi unajua kuwa mupo nafasi ya 3?

Nakushauri kwanza pigania angalau ufike nafasi ya pili ndiyo uiwaze ya kwanza.
Tofauti kati ya 3 na 1 ni 2 Sasa uwaze ya 2 wakati wa kwanza kakuacha points 2....hata ukidroo tu suala linakuja kwny GD...ile mechi ya Emirates tulowadunda mlikosea sana kufungwa...mtakuja kuikumbuka mkilia mwisho wa msimu
 
FYI Liverpool tunacheza PL vs Luton leo na hiyo weekend nyie mtakapocheza basi hata mkishinda still mtaendelea kubakia huko huko mlipo maana mtaikuta Liverpool tayari ina points 60 kabla mcheze na Newcastle ambao sidhani kama watawaacha salama.
Yeah nimeona aisee mnacheza leo...mtawadunda Luton🤠🤠...hawana pumzi wale....halafu hzi jeuri za kusema Nyukesto hawatatuacha salama mnazitoa wapi....lile goli la dhuruma walotufunga ndo linawapa jeuri hyo au....wale jumamosi watakataa kurudi uwanjani kipindi cha pili....tunajua watacheza kwa kufanya Low block na tumeshawaandalia dawa yao
 
Spurs tuna hasira nao mechi ya kwanza. Ushindi kwa Spurs hata marefa wanajua lazima wa force Liverpool ashinde
 
Sisi kweli tunashida. Tukipata crisis kali hatuwezi kupambana. Tukimkosa Saliba au Gabriel tunashida. Tukimkosa Odegaard, au Saka au Martinelli tunashida pia. Rice naye naamini amekuwa mchezaji ambaye hatutaki kumkosa. Wengine kuna namna tunapambana kufidia nafasi zao, mfano Tomiyasu, Timber, Zinchenko, so far White na Kiwior wameweza kupambana kuziba gap. Kwa Jesus, Haverts na Trossard somehow wamejitahidi kujiunga na kwa wao wawili ni kama wanetengeneza Jesus flani. Partey bado ni pengo ila somehow Rice ameziba pengo upande wa defense akishirikiana na White.
 
namwongezea Dir Kuyt

Anayesema Salah hajui kitu, nahisi yeye ndio hajui kitu katika mpira
 
Hivi hii injury crisis kila mwaka tena kwenye muda tight ni laana? Gundu? Madaktari wa timu hawafanyi kazi yao? Ama tatizo ni nini?
Hata wachezaji wapya nao wamo kwenye crisis
 
FYI Liverpool tunacheza PL vs Luton leo na hiyo weekend nyie mtakapocheza basi hata mkishinda still mtaendelea kubakia huko huko mlipo maana mtaikuta Liverpool tayari ina points 60 kabla mcheze na Newcastle ambao sidhani kama watawaacha salama.
Ila tuna majeruhi wengi aisee! Mungu atuhurumie kwa kweli mbona nakuwa na wasiwasi sana mwezi huu na ule ujao? Wachezaji wetu muhimu wote majeruhi! Nunez lilikuwa limeanza kuwazima mdomo sasa nalo majeruhi! Mashine zetu Salah na Jota nazo majeruhi! Kazi ipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…