King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Salah mbio tu ndo anazozijuaš¤ š¤ ...pale juu mtatoka mtake msitake....Leo Mama Cita anashinda kiporo chake tuanze rasmi kuwafukuza.. wiki ijayo mnacheza Carling Cup sisi tunacheza Ligi tunashinda tunakaa pale juu...hamtakaa mrudi tena pale
Hivi unajua kuwa mupo nafasi ya 3?
Nakushauri kwanza pigania angalau ufike nafasi ya pili ndiyo uiwaze ya kwanza.