Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bwawa la Maini limefurika maji kwa lita mbili tu. Poleni sana!

Soon naona mnaweza kuanza ku-walk alone!
 
Haya huenda wakarudisha...

Wangeweza kurudisha lakini Red Card ya Masanilo oooh sorry ya Mascherano imewa-cost sana. Pia kuna kipindi walilimwa card za njano kama 3 hivi ikabidi waanze kuwa makini na kupunguza aggressiveness ya kijinga ambayo ingeweza kusababisha mtu akalimwa kadi ya njano ya pili na hivyo kutolewa kabisa.

Pamoja na hayo, ingawa walikuwa pungufu kwa muda mwingi sana, wamejitahidi sana.

Portsmouth walikuwa wanaishi kwa msaada wa mashine lakini sasa naona Liverpool wamewapa uhai kiasi, japo hawajatoka kwenye tundu ya kuelekea kushuka daraja lakini wanawasogelea majority na hivyo ni rahisi kuponyoka ukilinganisha na gap la points likiwa kubwa sana.
 
Hawa Liverpool mwaka huu wao, hata nafasi ya 4 wanaweza kuikosa. Kama mwendo utakuwa huu watamaliza wa 6 au 7. Hali hiyo itawakimbiza akina Tores. Pole sana wapinzani.
 
Hawa Liverpool mwaka huu wao, hata nafasi ya 4 wanaweza kuikosa. Kama mwendo utakuwa huu watamaliza wa 6 au 7. Hali hiyo itawakimbiza akina Tores. Pole sana wapinzani.

Poleni wakuu naona hapa hali imeishakuwa tete..
 
Hawa Liverpool mwaka huu wao, hata nafasi ya 4 wanaweza kuikosa. Kama mwendo utakuwa huu watamaliza wa 6 au 7. Hali hiyo itawakimbiza akina Tores. Pole sana wapinzani.
Sikuwa napenda Steve G aondoke lakini naona sasa wakati umewadia he has to move on awache Hicksna Purslow wacheze wao. Ila namshauri abaki EPL maana akienda Spain yatamkuta ya Owen na Beckham

Poleni wakuu naona hapa hali imeishakuwa tete..
Yaani huu msimu acha tu Rafa kaishiwa kabisa
 
Asante, maana nasi tumepingwa 3 zero. Si kawaida mechi ya 18 kufungwa gemu 5. Nawatakia kheri Arsenal na Chelsea.

Ni kweli na we leo umepoteza,na kiukweli ligi ya mwaka huu ni ngumu sana lazima hili tulikubali game ambazo zinaonekana ni ushindi ndo hasa zinapinduka ile mbaya.Safari bado ni ngumu tukaze kamba.
 
Sikuwa napenda Steve G aondoke lakini naona sasa wakati umewadia he has to move on awache Hicksna Purslow wacheze wao. Ila namshauri abaki EPL maana akienda Spain yatamkuta ya Owen na Beckham

Yaani huu msimu acha tu Rafa kaishiwa kabisa

Yaani ningekuwa na bunduki ningekwenda kuwachapa wachezaji kwanza, haiwezekani wacheze vibaya wakati wanalipwa mishahara!!! I think ni kiburi tu, maana sasa kama hata kukimbiza mpira unasingizia owners wakati hawajawahi kukosa mishahara inaniudhi

I am very down but not out!!
 
timu zina drop points kinoma nyinyi wenyewe tu mda mnao wa ku-turn around lakini huyo benitez kama ataendelea kuwapiga bench watu wamaana kama benayoun na ngog mtaendelea tu kuwa wasindikizaji.

mmerizika kwenda europa league soon mtaanza kuona championship nayo powa.
 
Sikuwa napenda Steve G aondoke lakini naona sasa wakati umewadia he has to move on awache Hicksna Purslow wacheze wao. Ila namshauri abaki EPL maana akienda Spain yatamkuta ya Owen na Beckham

Yaani huu msimu acha tu Rafa kaishiwa kabisa

Yaani ningekuwa na bunduki ningekwenda kuwachapa wachezaji kwanza, haiwezekani wacheze vibaya wakati wanalipwa mishahara!!! I think ni kiburi tu, maana sasa kama hata kukimbiza mpira unasingizia owners wakati hawajawahi kukosa mishahara inaniudhi

I am very down but not out!!
 
Mkuu, its beyond Rafa, huwezi kuniambia eti gerrard hawezi kukimbilia mpira simply because Benayoun is not in the field, ukiangalia structure ya liverpool during preseason, Yossi and Ngong were the subs kwa hiyo kuwategemea wao itakuwa ngumu kama kweli umeanalyse mpira.... Yes Yossi na Ngong stood up to be counted, lakini nadhani kwa mpira uliopo sasa ni vyema kuwa Nabil el Zahr, Plessis, na wale watoto wa under 20 team kwasababu they are better and more hungry for the opportunity

in real sense, the first team inaonekana kama ahiko motivated and i remembr in the game with wigan hata Yossi hakucheza vizuri

Its the big boys to stand up and be counted, hatuwezi kulaumu raf kwa kila kitu
 
Ikiwa kila chizi anapoamka huwaza aanze na jalala lipi?
Teh teh natamani kujua Benitez akiamka huwaza kuanza na kitu gani?
 
Ikiwa kila chizi anapoamka huwaza aanze na jalala lipi?
Teh teh natamani kujua Benitez akiamka huwaza kuanza na kitu gani?

Mkuu umeiweka vizuri sana... he is simply unpredictable and stubborn!!
 
- Duh! noma kichizi, sasa dawa mimi ni kutafuta timu mpya maana hii aibu haikubaliki wala haizoeleki!

- Simply noma!

Respect.

FMEs!
 
- Duh! noma kichizi, sasa dawa mimi ni kutafuta timu mpya maana hii aibu haikubaliki wala haizoeleki!

- Simply noma!

Respect.

FMEs!

Usikate tamaa mkuu. Ndio hali ya mpira hio...unadundwa na kisha unasubiri
kudundwa. Awamu hii ni ya Liverpool kudundwa.
 
Timu hauami tunavumilia maumivu tu, hiki ni kipindi cha mpito japokuwa kweli comfo limekufa kuanzia kwa m-beba jezi hadi board of directors. When the going gets tough, the tough gets going.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…