Hakuna mchezo wowote duniani ambao una raha ya kuangalia au kucheza kama soka. Si basketball, fake football au mwingine wowote ule duniani. L'pool na MANU uwanjani mimi nataka kuona mechi nzuri yenye ushindani wa hali juu. I hope waamuzi watakuwa fair kwa timu zote na bila kutoa maamuzi yasiyo na kichwa wala miguu kama vile kutoa penalty zisizostahili. Kwa manufaa ya timu yangu, GUNNERS napenda leo L'pool washinde he he he 😉 ili tupunguze gap la points kama tutashinda leo with expectation ya kuwafikia MANU 🙂 (labda miujiza itokee 😉 ). Haya enjoy the game, let the best team win.