Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwana kweli mnaweza kushinda ila MTOTO HATUMWI DUKANI TRAFFORD. Sisi Man Utd kila upande wa uwanja ule kwetu ni KIBLA yaani popote tunaweza kuendesha sala na waaumini wakafuata
 
Hakuna mchezo wowote duniani ambao una raha ya kuangalia au kucheza kama soka. Si basketball, fake football au mwingine wowote ule duniani. L'pool na MANU uwanjani mimi nataka kuona mechi nzuri yenye ushindani wa hali juu. I hope waamuzi watakuwa fair kwa timu zote na bila kutoa maamuzi yasiyo na kichwa wala miguu kama vile kutoa penalty zisizostahili. Kwa manufaa ya timu yangu, GUNNERS napenda leo L'pool washinde he he he 😉 ili tupunguze gap la points kama tutashinda leo with expectation ya kuwafikia MANU 🙂 (labda miujiza itokee 😉 ). Haya enjoy the game, let the best team win.
 
kweli hamna mchezo naopenda kuangalia kama mpira wa miguu japo kucheza au kitaalam zaidi sijui.
kama mechi ya leo ni kali sana,ushindani na ushabiki mkubwa. Yoyote atakayeshinda ni safi!..
enjoy kandanda!
 
Hivi kuna mtu yoyote anaangalia hii gemu online? Link?
 
Huyo mspaniola Torres ananikosha sana,kafunga goal zuri!
tuone mwisho wa match itakuwaje!
 
Hmmm, naona leo dua la kuku linaweza kumpata mwewe 🙂 Gerard anafunga kwa penalty. L'pool 2 MANU 1.
 
Oh What a heck! I might as well just say something....Liverpool 3 Manu 1
 
Wanainuka wanainama wanaona haya haoooooo. Kipigo safi sana 4-1 duhhhh! SAF leo aibu tupu!!!!
 
Whoa... naona Manu wanakuwa Real Madrid-lize......Liver 4 Manu 1
 
wameinama wameinuka wewe leo ndio leo tena almost 5-1 ahahahahahaha
 
Mpira umekwishaaaaaaaaaaa 4- 1 they deserve it. Kudos Torres welcome back from injury!!
 
They're still favourites to win EPL, but cha moto leo wamekiona. Mpira umekwisha
 
yani Liverpool wamewaMadrid hawa jamaa. Zamu yao kulala mapema leo.
 
Kidume Liverpool kimefanya maajabu du! siamini.

Hongera wana liverpool wenzangu
 
Back
Top Bottom