Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Atakuwemo lakini sio mwenye say ya mwisho kama ilvyo sasa...Ina maana kocha hatakuwemo kwenye Transfer Committee?
Not me bro.. The data supported metrics in real game show we should be aiming for this dude rather than Alonso...You can’t be serous
Right?
Kimeo Karius ila duh Klopp alimpa nafasi akamtetea lakin mwishowe akakumbaliana na Gary Neville aliesema Liverpool can't win any trophy kwa makipa Simon na Karius.Jana nilivyomuona tu karius vs asses… nikaachana na kuangalia mpira
Atakua ma majini makali sana yule
Jamaa
Klopp hua hachezi mbali kutembelea hawa vijana.. Ndio maana anawaamini.Lfc kids are better than many
😂 😂 Kwa sasa Wembley is Red hatubahatishi.Chesii wameniumiza, uliyesababisha kwanini nikuombee dua nzuri?
[emoji23][emoji23] [emoji23] Kwa sasa Wembley is Red hatubahatishi.
YNWA
Niliwaambia Kelleher golikipa wa Dunia🥂🥂🥂🥂Cheers Miss Liverpool kijana wako leo katoa world saves after save..
Proper back up GK...
YNWA
Najifichaje wakati najua lazima tubebe ubingwaSaint Anne umejificha wapi? liverkuku kanusurika kuchinjwa.
Ndio maana ya ukapteni fantastic sio Henderson bhana
Mnapelekewa moto si wa kawaida
🤣🤣🤣📌 wananyoooshwaaa
Umefurahi mwenyeweMnapelekewa moto si wa kawaida