Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imagine Captain VVD msimu wake wa kwanza kuwa Captain ndiyo anabeba Ndoo halafu kadeliver yeye mwenyewe kwa kufunga goli lililompa Kombe.

Captain Gerrard alifunga goli Fainali dhidi ya AC Milan akabeba UCL.

Macaptain wetu wote wamedeliver Lakini Captain Henderson yeye alikuwa anasubiri wanaume wenzake wamfungie magoli yeye aende akabebe Kombe.
Yaani hajawahi kudeliver kama Captain 😭😭
 
La moto moto🔥🔥😍😍😍
Yaani la motoo

Ostaz lembu unalisikilizia kombe redioni
OllaChuga Oc bange ulizowapa machalii zimewazidi
 
Attachments

  • IMG-20240225-WA0011.jpg
    IMG-20240225-WA0011.jpg
    305.8 KB · Views: 3
Imagine Captain VVD msimu wake wa kwanza kuwa Captain ndiyo anabeba Ndoo halafu kadeliver yeye mwenyewe kwa kufunga goli lililompa Kombe.

Captain Gerrard alifunga goli Fainali dhidi ya AC Milan tukabeba UCL.

Macaptain wetu wote wamedeliver Lakini Captain Henderson yeye alikuwa anasubiri wanaume wenzake wafunge magoli yeye aende akabebe Kombe.
Yaani hajawahi kudeliver kama Captain 😭😭
Hendo kazi kubwa aliyoifanya ni kunyanyua tu kikombe huku hajafanya chochote
 
Back
Top Bottom