Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa kuna wachezaji nikishawaona tu kwenye line-up mzuka wa kuangalia game huwa unapotea. Baada ya game ya Madrid nilijua tu Super Rodgers lazima akivuruge kikosi tena, ndio maana hii game sikuwa naifikiria sana na ndicho kilichotokea.
hujanielewa, sterring alitakiwa kupata second yellow baada ya kumvuta Hazard.
Ref amefanya makosa kwa kiasi fulani,ila huwezi kusema ndio sababu Liverpool kutokufanya vizuri msimu huu.
sometimes inabidi ukubali km timu yako sio nzuri.
out of 11 e.p.l matches this season mmshapoteza 5, draw 2 na win 4
something need to be done kubadili huo mwenendo
Asitafutwe mchawi, timu ilikuwa mbovu na itaendelea kuwa mbovu.
Ni kweli team yetu ina matatizo na haiko poa!!!Hongereni sana Chelsea
ILA ubovu wa team yetu isiwe sababu ya kufunika ubovu wa referee, Naye alifanya poor decisions vilevile.
We're Shit..
Mkuu mbona co kama mwana sport? liver ni mbovu lakin c kwa mechi ya leo, yelow card ya Raheem, goli la costa mpira ulisha toka, penalty cahil mpira aliucheza kwa mkono kwa makusudi.
Oooh Lord please make sterring sick even for one week oooh no just a month
Poleni sanaMi nadhani tunge focus zaidi kwenye performance ya timu kwa ujumla kuliko kutafuta excuses ambazo hazitasaidia, ingawa zinasaidia kwenye kujifariji.
Goli la pili ni sahihi kabisa, ule mpira haukutoka nje wote (jaribu kuangalia tena highlight). Wakulaumiwa ni Johson ambaye hakuwepo kabisa kwenye eneo lake, ingawa Coutinho alishindwa kumkaba vizuri Az.
Ile kadi ya njano ya Raheem sina uhakika sana, ila nilichokiona RS alim block Ramires kwa mbele ingawa Ramires alikuja kumpa kiwiko RS.
Penati ilikuwa ni "clear" penati, ingawa tungeweza kupewa hiyo penati na kuikosa pia.
Mwisho wa siku kwa tulivyocheza leo tulikuwa hatuna uwezo wowote wa kumfunga Chelsea, ingawa wote tulicheza mpira mbovu.
Sijajua kwa nini Borini hakuanza, Sub ya Coutinho, Sub ya Can, Sub ya Lambert, RS kumaliza dk 90, Lalana kutocheza. Af Moreno bado sana kwenye kuzuia, ndio maana namkubali sana Jose.
1;sterling c alimzuia Ram njia ? That's y akapewa kadi
2;mpira aukutoka ulikua bado upo on the line ,tafuta marudio uangalie
3;Je ile hand ball ya Liverpool mbna uizungumzii?
4;pole Sana kwa kutobolewa mfululizo 😱😱😱
Huyu mtoto BR sijui anampendea nini hasa! Pamoja na kuzingua msimu huu dogo anajua sana kukaba kuliko. Wasiwasi wangu ni Coutinho kama
ataendelea kukaa Anfield kwa kipindi kirefu.
Mkuu mbona co kama mwana sport? liver ni mbovu lakin c kwa mechi ya leo, yelow card ya Raheem, goli la costa mpira ulisha toka, penalty cahil mpira aliucheza kwa mkono kwa makusudi.
Siku hizi confidence anakosa kabisa akifika karibu na goli I hate sterring now days....
Coutinho nahisi dirisha dogo anaweza tutingisha na BR akimfanyia hivi hivi msimu ukiisha PC ataondoka anfield na ndipo tutakapozidi kupotea. PC he got football brain, itakuwa aibu iwapo ataondoka