Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nuru gani wakati hamna hata kikombe cha chaiHayo maswali tumeyazoea na sasa tunaanza kujiweka katika nafasi ya kuyajibu.
Kuna kipindi Liverpool tulikuwa tunalingana nao/vibonde wetu kiaina ila tukaja kushuka kiasi kwamba mechi 24 tumewafunga 3. 2 kati ya hizo ni katika miaka hii miwili ya sasa. Sisi tunaona kuwa tunaanza kuimarika na kurudi miongoni mwa timu tawala. Sasa mtu akiniuliza ndani ya mechi 24 nimemfunga Liverpool mara ngapi natakiwa kumjibu vipi?
Nyie kazi yenu ni kutupigia makofi washindi😂