Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nuru gani wakati hamna hata kikombe cha chaiHayo maswali tumeyazoea na sasa tunaanza kujiweka katika nafasi ya kuyajibu.
Kuna kipindi Liverpool tulikuwa tunalingana nao/vibonde wetu kiaina ila tukaja kushuka kiasi kwamba mechi 24 tumewafunga 3. 2 kati ya hizo ni katika miaka hii miwili ya sasa. Sisi tunaona kuwa tunaanza kuimarika na kurudi miongoni mwa timu tawala. Sasa mtu akiniuliza ndani ya mechi 24 nimemfunga Liverpool mara ngapi natakiwa kumjibu vipi?
πππ€£π€£π€£Ndiye mwenyewe huyu hata wewe ukiekwa golini unamzidi kwa kudaka.
Lakini sio mbaya kubaki Liverpool kama kipa namba 3
Sawa.Here we go
I started supporting Liverpool in the 90s, ulikua hujazaliwa
Hebu waheshimishe asses wenzako aisee
Key word ASS
Ni mechi ya lini?Kuna community shield moja alidaka vizuri sana na akawa hero
ILA sio kabisaβ¦
Mwache mwamba. Na yeye wajukuu wake wataenda kumsalimia na kukuta medali kwenye shelf na kusema 'babu alikuwa champion' huku akina Pope na Sa wakionekana si lolote si chochote.Huyu Mwamba anajikusanyia Medali za bure za Uzeeni tu wala hakuna anayejadili uwepo wake pale Liverpool.
Mganga wake mkali sana.View attachment 2916679
Sawa.
Kwa hiyo nadhani wewe ulikuwa katika nafasi nzuri ya kunielewa. Kama sijakosea, Liverpool alibeba kombe 1990. Baada ya hapo ubingwa wa ligi aliuchukua tena 2020. Kimahesabu naona ni miaka 30. Ndani ya hiyo miaka 30 aliyosubiri Liverpool kuja kubeba ubingwa tena, Arsenal amebeba mara 3. Je, kabla Arsenal hajasibiri miaka 30 kama Liverpool, unadhani haowezi kuchukua ubinwa hata mara 3 ndani ya miaka 10 iliyosalia?
kwa hiyo hichi ki community shield chetu cha juzi juzi hapa hamtaki tujivunie kukibeba? ππNuru gani wakati hamna hata kikombe cha chai
Nyie kazi yenu ni kutupigia makofi washindiπ
Hilo ni kombe au chupa ya chai?πkwa hiyo hichi ki community shield chetu cha juzi juzi hapa hamtaki tujivunie kukibeba? ππ
Nitachukua tu bibie. Mwenzako ameona jinsi nyie mlingoja miaka 30, sasa inakuwaje mnajaribu kutukatisha tamaa sisi tuliongoja miaka 20?Hachukui
Kama unasubiri kombe la EPL kafanye tu mishe nyingine
Hesabu mwingine 20 mbeleπ
Mwenzenu Ramsdale the great ashajiongeza..ameona makombe hakuna..amegeukia menu tu
Maisha ndo hayahaya.
Mungu hakunyimi vyote.Nitachukua tu bibie. Mwenzako ameona jinsi nyie mlingoja miaka 30, sasa inakuwaje mnajaribu kutukatisha tamaa sisi tuliongoja miaka 20?
Wenzenu hata final wamefika licha ya ubovu wao wote
Nyie hakuna kitu mtaambulia,kama kawaida yenu.
Timu ndogo miaka 20 haina EPL hata ya mchongoma.
Mara moja moja tunaamua tu kuwatolea uvivu nyie wagombea wenza ili tu muone kuwa tuna jitihada na hizo jitihada zinawapa hofu washindani wetu.Hilo ni kombe au chupa ya chai?π
Tumpe muda dogo. Kumbuka yeye hana uzoefu wa kuongoza timu kama Klopp na wengine. Katoka kuwa msaidizi/ mshauri wa Kipara tu na kachukua FA Cup. Arteta ameanza kazi hii 2019 (December, so tuseme 2020). Klopp kaanza kazi na Mainz 2001.Mungu hakunyimi vyote.
Akikunyima kombe,anakupa domo ubwabwaje
Arsenal Mungu amewajaalia mdomoππ
Unaona timu yako ni ya kuchukua EPL?
Kikosi chako, na mbinu zako zipo sawa na za Liver hadi mmbebe?
Kocha wako ni world class kama Klopp?
Mmekaa kabisa mmamsubiri kiwigi kubond awape EPL π
EPL siyo ya kila mtu πππ
Ndugu zangu wana matumaini hewa
Imani bila matendo ni mwili pasi na roho.
Sisi tayari tunalo kombeNi michache ukilinganisha na miaka 30+ mliyosubiri nyinyi.
Kumbe mnajua kabisa hana uzoefu na mnajilinganisha na LiverTumpe muda dogo. Kumbuka yeye hana uzoefu wa kuongoza timu kama Klopp na wengine. Katoka kuwa msaidizi/ mshauri wa Kipara tu na kachukua FA Cup. Arteta ameanza kazi hii 2019 (December, so tuseme 2020). Klopp kaanza kazi na Mainz 2001.
Klopp kaja Liverpool kashachukua ubingwa na Dortmund. Ameshinda makombe ila ubingwa wa premier league amebeba mara 1 ndani ya miaka kama 8.
Arteta bado bwana mdogo kwenye hii sekta ila mnamuona huyo hapo anapambana na nyie na vichapo anawashushia, tena kwa kuwadominate wala siyo kubahatisha kigoli na kupaki basi. Anapambana na anapanda mdogo mdogo. Win % ya Klopp ndani ya Liverpool ni 61%, ya Arteta ndani ya Arsenal ni 58%. Ukipenda kuangalia mpira na ma statistics, utaona Arteta anapanda, hivyo unaweza kusema hajamfikia Klopp lakini huwezi kusema hawezi kumfikia na hata kumpita. Tumpe dogo muda.
Kama mechi ya juzi unatamba nayo kabisa kuwa mlishindaTumpe muda dogo. Kumbuka yeye hana uzoefu wa kuongoza timu kama Klopp na wengine. Katoka kuwa msaidizi/ mshauri wa Kipara tu na kachukua FA Cup. Arteta ameanza kazi hii 2019 (December, so tuseme 2020). Klopp kaanza kazi na Mainz 2001.
Klopp kaja Liverpool kashachukua ubingwa na Dortmund. Ameshinda makombe ila ubingwa wa premier league amebeba mara 1 ndani ya miaka kama 8.
Arteta bado bwana mdogo kwenye hii sekta ila mnamuona huyo hapo anapambana na nyie na vichapo anawashushia, tena kwa kuwadominate wala siyo kubahatisha kigoli na kupaki basi. Anapambana na anapanda mdogo mdogo. Win % ya Klopp ndani ya Liverpool ni 61%, ya Arteta ndani ya Arsenal ni 58%. Ukipenda kuangalia mpira na ma statistics, utaona Arteta anapanda, hivyo unaweza kusema hajamfikia Klopp lakini huwezi kusema hawezi kumfikia na hata kumpita. Tumpe dogo muda.
Mara moja moja tunaamua tu kuwatolea uvivu nyie wagombea wenza ili tu muone kuwa tuna jitihada na hizo jitihada zinawapa hofu washindani wetu.
Hata hili la kikombe hata cha chai cha ulaya, niliwakumbusha watu kuwa UEFA washawahi kuwa na UEFA Cup Winners Cup. Kishindano cha kijinga jinga flani maana unafuzu ukishinda domestic cup flani, mfano premier league, FA CUP, Leagu cup, nk. Baadae wakaona huu ujinga maana kikombe kama FA Cup kuna timu 124 zinakiwania na kimzaha mzaha unaweza kuta Hull City kakibeba. UEFA wakakimezesha hiki kituko ndani ya UEFA Cup ambayo ndiyo Europa sasa.
Anyway, ninachosema ni kijikombe cha kufutia machozi kilicho chini ya UEFA TUNACHO! Sasa mpango ni kuendelea kupambana tupate hivi vingine vikubwa. Nia tunayo na uwezo tunao. Ni suala la muda tu ππ
View attachment 2916693
ZOOM vixuri hapo juu pameandikwa UEFA π
View attachment 2916697
Cheki nembo kwenye ki trophy stand. Huyo mwenye kijani ni kipa David Seaman na aliyemshika bega ni Lee Dixon TIMING atakuwa anawakumbuka vizuri hawa.
Uzoefu unasaidia sana ila Arteta ana silaha nyingine upande wake...Akili Kubwa. Ni kama Guardiola, Zidane, na Alonso anaonyesha ana kitu pia. Kuna Kina Roy Hodgson, David Moyes, Sam Allardyce...uzoefu wao umewapa nini?Kumbe mnajua kabisa hana uzoefu na mnajilinganisha na Liver
Kisa liver alichukua eti na nyie mtachukua,tena chini ya kocha ambaye hana uzoefu wowote na wachezaji wenyewe mayai
Endeleeeni kusubiria dodo kwenye mnazi.
Uzoefu unasaidia sana ila Arteta ana silaha nyingine upande wake...Akili Kubwa. Ni kama Guardiola, Zidane, na Alonso anaonyesha ana kitu pia. Kuna Kina Roy Hodgson, David Moyes, Sam Allardyce...uzoefu wao umewapa nini?
Ninachofikiri mimi ni Arteta hatahitaji miaka zaidi ya 15 kama Klopp kuwa kocha bora
Utachokiona ukiamua kwenda huko ni kwamba mkubwa kuanguka ni kitu kinachotokea. Ila kuna kuamka pia. Kama nyie mlianguka mkaamka, kwa nini mjaribu kutubania na kutukatisha tamaa sisi katika harakati zetu za kuamka? Nyie tunawaona kama washindani wenza wetu, nyie mnatuona kama wapinzani wenu na mnatujia kwa chuki na hofu kubwa.Habari za enzi za mwalimu
Nikisema na Mimi nilete habari za enzi za mwalimu hapa tutakesha maana kabla ya miaka 30,liver tulivhukua pl hadi tukachoka tukaona thpumzike.
Achilia mbali UEFA na vikombe vingine vyote vya chai.