Uko vizuri dogo
Kelleher ni mwamba sana
Anazidi waprove wrong msiomwamini
waingereza wana Maneno aisee.😂The blue biliions vs the academy kids.
🤣 🤣 🤣
YNWA
Nunez the great[emoji91]
Nikajua unaninunulia kwanza soda kabla hujanipa majukumu mengine.Finally [emoji3590][emoji3590] Umenifursha dada.[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Embu nenda kwa babu kwachngulie hizi injuries kama hazina mkono wa mtu
Nikajua unaninunulia kwanza soda kabla hujanipa majukumu mengine.
Nunez hana injury yoyote.
Anakula gootime tu..mtu mwenye injury hawezi kuruka viunzi mieleka kama Rey Mysterio lol!
Usijali itakuja Soda hiyo.
Nunez hakujali Jones mgonjwa sukumia huko tutajua baadae… Szobo akafuata tena kwa nyuma sukumia Jones huko. By the way its a joy kutokana na vitoto kuvishikisha adabu £200M Mf’s.
YNWA
Acheni siasaCome on😅
mfaransaAnaitwa Djibril Cisse msenegali alikipiga Anfield as Center Forward.
Ukute academy kids wasio first teamers wenyewe hawazidi watano na hawakucheza 120min.The blue biliions vs the academy kids.
🤣 🤣 🤣
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 Chelsea hawana hamu na Gary Neville.waingereza wana Maneno aisee.😂
Bahati peke yake haitoshi ndugu, Hivi unadhan Mkuu kwa hao unaosikia wakiitwa Academy Boys ni jambo jepesi sana kupambania kombe Wembley?Ukute academy kids wasio first teamers wenyewe hawazidi watano na hawakucheza 120min.
Nakumbuka tulikuwa tunapenda headlines za "10 man Arsenal destroy UNITED" kumbe red card yenyewe tumeipata dk 87.
Timu yenu kwa macho yangu ilikuwa strong tu ya kutosha kabisa kupambana na Chelsea. Pia Chelsea wenyewe walizingua kwenye finishing. Bahati haikuwa kwao.
Wataalam wa vipaji tunasemaga "if you're good enough, you're old enough ". Pongezi nyingi kwa academy team yenu kwa jitihada zao ila wengine hapo kama huyo Elliott ni first teamers tayari sema tu ni wadogo kiumri. Saa zingine tunatumia umri wa vijana kukuza walichofanya (kijana mdogo hivi cheki mambo anayofanya uwanjani) na ni vizuri ila sometimes naona kama tunawashusha.Bahati peke yake haitoshi ndugu, Hivi unadhan Mkuu kwa hao unaosikia wakiitwa Academy Boys ni jambo jepesi sana kupambania kombe Wembley?
Hawa vijana wamepikwa kama ulitazama mechi utaona utilivu waliokua nayo hawa vijana aisee hawakua na papara kwamba wanacheza biggest avenue pale UK kwao ilikua kama any day in the business...
Hakika tunajivua Academy kusogezwa jirani na Team A kuna mengi wanajifunza na ni walking distance Klopp kwenda kuchungulia upcoming kids pindi anavyowahitaji iwe rahisi kwake.. Wengi sasa hivi wanafanya mazoezi na Team A na hilo pekee kwao ni hatua wanajivua sana hua karibu na akina VVD, Salah nk yapo wanayojifunza lakin katika yote ni kua tayari kupambana kwa ajili ya Liverpool..
Hawa vijana wote ni kazi nzuriiiiii sana kutoka kwa huyu mwamba Alexander Matthew Inglethorpe.
YNWA
Nunez na Sobo hawaumwi
Tumepigwa
Wataalam wa vipaji tunasemaga "if you're good enough, you're old enough ". Pongezi nyingi kwa academy team yenu kwa jitihada zao ila wengine hapo kama huyo Elliott ni first teamers tayari sema tu ni wadogo kiumri. Saa zingine tunatumia umri wa vijana kukuza walichofanya (kijana mdogo hivi cheki mambo anayofanya uwanjani) na ni vizuri ila sometimes naona kama tunawashusha.
Pele aliingia Selecao na 17 years kama sikosei. Ronaldo da Lima pia. Messi kule Barcelona? Martinelli aliingia first team ya Arsenal na 18 years. Saka 17. Fabregas 17, Iwobi 17 na nadhani van Persie pia alianzia 18 au 19. Wayne Rooney 16 kule Everton Cristiano Ronaldo 17 au 18 Unyumbuni kama sikosei.
Naweza kuwa nimechanganya mahali ila narudi kwenye "if you're good enough, you're old enough". Hapa naongea waliopata chance ya kuwa regulars kiasi fulani. Hao vijana wa Liverpool aisee ukiachana na umri, wako vizuri.
Kwanza mpinzani mwenyewe alikuwa kenge. Tumekaa kimya tu huku ila mtaani tulikuwa tunashangaa sana mmefikaje 120 minutes na wale viwete. Academy team yetu ingewachapa hata 2-0 kabla ya dk 90 wale marasta uchwara.
New structure in progress View attachment 2919188