The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Hii inamaanisha Michael Edwards ni muhimu zaidi kuliko Kocha.
Hapa napata points mbili:
1) FSG walimdharau Edwards kwasababu walikuwa na Klopp hivyo waliamini ataweza kuhandle kila kitu.
2) Klopp anaondoka FSG wanahisi sio rahisi tena kupata Kocha ambaye ataipandisha thamani tena Liverpool kwa kuifanya icheze kwenye consistency kila season back to back hivyo wanamtaka Edwards kuwavuusha.
Edwards naye anawakazia sasaView attachment 2919206
Kwa taarifa zilipo. Edward anataka full control. Hiki kitu ndicho kilifanya aondoka. This time FSG hawachomoi aisee.
Na Edward atakubali hii ofa as long as Klopp hayupo hawajui ajaye atafanya yapi bora wakubali ya Edward.
Good thing FSG wameona hamna haja ya kumtegemea ajaye kama Klopp maana hasara kwa kutoshiriki CL wameiona, kuboronga last season wamelamba hasara pia.
Edward ni kichwa cha mpira, naamini selection ya players na kocha vitatoka kwake. He is that guy anaviona vipaji na adavantage yetu kwake anaendana na msuli wa kiuchumi wa FSG, he knows them very well.
Makocha mpaka sasa wanaowaniwa
1. Alonso
2. Amorim.
Ngoja tuone FSG watamkubalia ombi la kutaka FULL control?
YNWA