The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mnaisifia sana timu
Ila sioni mtu akimsifia kabisa Kelleher kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Ile mechi ilivyokuwa na presha, Angekuwa Allison anavyotoka nje ya goli tungepigwa kitambo.
Ila mpo kimyaaa.
Semeni tu Kelleher ni mwamba,
Penye kutoa appreciations toeni.
Hahaha hakuna anayepinga ubora wa Kelleher. Na karibu 90% hawajawahi kuwa na anay doubt kumhusu. Last season fununu za alipotaka kuondoka tuliwaza tutapata wapi 2nd GK mzuri kama yeye ? Au ndio yatakuwa ya Adrian awe 2nd? Wakakaa nae wakayamaliza.
Kelleher is a good GK, tunapotofautiana ni kumuweka same pot ya ubora na Beckor.
Beckor ana world class saves na ame prove hayo years. Best GK in the world if not 2nd one, Kelleher bado hajathibisha hayo.
He is a good GK though, ila sio chungu kimoja na Alison.
YNWA