Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jones anachezaje mbele ya Gini?

Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano

Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside

Hata hawa wa sasa wanatumika kwa sababu ya injury crisis tu iliyopo. Tungekuwa full kikosi kuna ambao usingewaona. Wenye potential amabayo Klopp ameiona ndio walau wangepata game time.
 

Kabisa. Lakini hata sasa ni vile injuries wamekuwa wengi. Vinginevyo usingewaona wengi tu.

Full squad vs Chelsea kina Koumas, Danny usingewaona..!!! Ni vile ilibidi tu.
 
Forest ameshindwa kabisa kumkomalia jogoo? Siyo poa ila siyo mbaya. Acha tuendelee kumsindikiza jogoo kuelekea kwenye ubingwa.

Umewahi kushiriki marathon ya point moja kutoka March mpaka may bila kuambulia kitu???

Msimu mgumu huu. Kipindi cha Marathon hii ilikuwa ni Pep vs Klopp. Tulipunguza gap from 12 mpaka 1, lakn hiyo point moja mpaka mwisho tulishindwa kuidaka.

Msimu huu naona Arteta nae kajisogeza kwenye Marathon.
Zamu yenu embu mpate majeruhi walau wanne tuone ubavu wenu wa kuhimili vishindo.
 
Squad player... He will com around.. Klopp amtumie nafasi yake pendwa ambayo ni LW.. Wachezaji wengi Liverpool hutumikia muda mwingi nafasi ambazo si "zao" tazama Gini, Nunez, Maclister, Gapko nk nk...

YNWA

Naamini hivyo pia. Na hili ndilo naona moja ya sababu wachezaji wa kusajiliwa under Klopp wanachelewa kuingia kikosini haraka. Off positions zinakuwa nyingi sana. Yaani how comes umsajili mchezaji ka perform as LW kwa mafanikio makubwa, na ndio LW imemfanya ukamuona ubora ila wewe umuondoe hapo umuweke RCM, ST (false 9 role).
 

Better option unakubali kuwaongeza, tu inakulipa kuliko kuwaondoa. Ukiwaondoa ni kama kamari hujui wata deliver hao wajao au itakuwaje. Tafuta potential replacement zao waingie pole pole kwenye mfumo. Lakini itategemeana na mrithi wa Klopp atatakana nini na nini hataki. Ila kwa kocha yeyote yule kwa sasa huwezi kuwakataa Salah Vvd na Beckor.

Naona kama FSG kuna vitu wamevipigia hesabu wakaona vimewachelewesha, nitaamini hivi wakimkubalia Edward matakwa yake.
 

Hakuna taarifa ninayosubiri kama
Liverpool have appointed Michael Edward as Sporting Director
 
From a doubter to a believer [emoji23][emoji23][emoji23]
Captain Marvelous na The MoNA walikuaambia sana lakini ulikuwa utaki kuelewa.

Naam. Lilikuwa suala la muda tu. Kama ulimuangalia Nunez vizuri last season na this season kuna changes kubwa zilionekana na kukupa imani this dude will click this time unlike last season.

Waliwahi basi la Nunez walipande kabla halijajaa, watakosa nafasi.
 
Tukiwaambia hivyo ni kwamba tumamaanisha! Tatizo la vijana mlioingia kwenye mpira karibuni ndilo hilo, ujuaji mwingi halafu mnahadithiwa na wachambuzi wenu feki waliojaa kwenye media.
hapo nimekuonyesha makala ya Football 365 inayoonyesha namba ya academy players ambao klopp kawapa senior debut halafu wewe unaleta habari ya eti Messi na Ronaldinho are you serious?
unafahamu Breakthrough ya Lionel Messi kweli wewe?
kwa taarifa yako Messi hajawahi kimuweka benchi Ronaldinho, Messi kapewa nafasi na Frank Rijkard from youth ranks from 2004/05 lakini kwa mechi chache ila breakthrough season ikawa 2006/07 ambapo Frank Rijkard akawa anawaanzisha front three trio Ronaldinho,Etoo na Messi,na Messi akawa anatokea pembeni LW baada ya kuwa Ludovic Giuly kuanza kupoteza Kasi
Ni Pep Guardiola aliyemturn Messi huyo unayemuona leo,na hiyo ilikuwa baada ya Gaucho kupewa mlango wa kwaheri msimu wake wa kwanza Pep 08/09

So sio kweli kuwa Messi alipata namba mbele ya Gaucho! ni kuwa Frank Rijkard aliloose influence kwenye Dressing Room na ndio ikawa sababu ya kufurushwa Nou Camp.
Pep alipoanza na senior team kutoka team B aliyokuwa akifundisha aliwaoffload a number of senior players akiwemo Gaucho na ikawa ndio turning point ya kina Messi,Bosquet na wengineo kudeliver kulingana na mfumo wake.

Hivyo kusema kuwa Messi alipata namba kwa Ronaldinho ni sign ya kwamba you know nothing about that,na ikiwa unaamini kuwa Klopp hawapi nafasi juniors kwenye ranks za First team your total wrong! na ushahidi nimekuwekea hiyo collum ya Football 365
So no Datta no right to speak, otherwise humjui klopp ambaye since Mainz05 mpaka Dortmund ni muumin wa kuwapa opportunities juniors na hiyo sometimes imetucost mpaka Liverpool,kwa kuwaamini kina Curtis Jones,Harvey Elliot na Rhiam Brewster kuwa replacement ya kina Fabinho,Hendo na Kina Salah ! na kwa kukumbusha ni Klopp huyohuyo ambaye alikuwa akimkisoa Guardiola na makocha wengine wanaopendq kuspend heavily while wanaweza kutumia cheap resources kwa big result!

kusema kuwa Klopp hawapi nafasi academy graduates ni either hujui unachokisema au umekengeuka, Nothing else.
 
Mkuu majukumu ya Coady Gakpo ni yapi ? Na huwa anacheza namba ngapi ?

On paper Gakpo anacheza no9 ila kwa ufupi anafanya ya Bobby, but Bobby is just Bobby ila bado Klopp anamuota Bobby.
Anacheza kama striker lkn ana drop deep kuwavuta CB’s wa opponents ili kuacha rooms kwa LW & RW plus anashuka kuongeza namba kwenye MF kwa RCM & LCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…