Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jones anachezaje mbele ya Gini?
Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano
Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside
Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikariri
Lakini kwa sasa hivi anawaanzisha hata mechi za EPL
Ulikuwa humwambii chochote kwa wale wazee wake akina Lallana, Chamberlain, Milner, Origi n,k hawa ndio mara kwa mara walikuwa wanaingia kutoka benchi
Makinda wanabaki tu wamekalia mbao ndefu
Huyu GAPKO tulipoteza pesa bure.
Hamna kitu mle
Mkuu majukumu ya Coady Gakpo ni yapi ? Na huwa anacheza namba ngapi ?Kabisa. Lakini hata sasa ni vile injuries wamekuwa wengi. Vinginevyo usingewaona wengi tu.
Full squad vs Chelsea kina Koumas, Danny usingewaona..!!! Ni vile ilibidi tu.
Forest ameshindwa kabisa kumkomalia jogoo? Siyo poa ila siyo mbaya. Acha tuendelee kumsindikiza jogoo kuelekea kwenye ubingwa.
Squad player... He will com around.. Klopp amtumie nafasi yake pendwa ambayo ni LW.. Wachezaji wengi Liverpool hutumikia muda mwingi nafasi ambazo si "zao" tazama Gini, Nunez, Maclister, Gapko nk nk...
YNWA
Kibiashara Salah bado anauzika sana LFC jezi na other merchandise hilo FSG liliwafanya kubadili kabisa wage structure ili ku accomdate matakwa ya Last Pharaoh na inawalipa, ishu nani anatake over slot ya Salah ndio wajipange maana kuodoa mchezaji anaekuletea asilimia 30 peke yake mauzo ya jezi sio jambi jepesi aisee linahitaji maadalizi safi...
Salah, VVD na Allison bado wana deliver ishu hapa ni pale wanajua next contract inaweza kua ndio kubwa na ya mwisho kwao Liverpool hivyo lazima waweke demand za kueleweka na hilo pekee linakuonyesha FSG wajiaadae aidha kusajili like for like young players ama kuwapa angalau nyongeza ya miaka miwili kila mmoja..
Muda utasema.
YNWA
Hawa ma Yankees ukiona wanamomalia kitu ujue ni wanafaika kweli kweli na jambo husika na kwa namna tetesi zinavyokwenda majuu ni dhahiri Edwards ana kitu ambao wamesaka kwa wengine hawajakiona mpaka sasa..
Kabla ya kua transfer na mediation guru huyu Edwards alikua data department Liverpool kwa miaka mingi na hii ikamsaidia sana ku link sana data n talent search na kuwapa FSG solution kwa bei ambazo hawakua wanaamini lakin pia akiuza wale dead woods kwa faida kubwa tazama Benteke, Solanke, Grujic, Sakho, Ibe nk nk wote hao buyu mwamba aliwaweka sokoni huku akisajili wachezaji sahihi kwa Klopp kwa kipind alichokua pale net spend ilikua kiduchu sana lakin pia alikua anahakikisha contra renewal ni kwa wale wanaostahili tu na si vinginevyo hii sasa ilifanya watofautiane na Klopp akiekua ana softi heart kwa baadhi ya wachezaji kama Henderson, Milner, Keita, Adrian nk nk matokeo yake mliona last season tukiishia nafasi ya 6 EPL jambo ambalo lime wacost FSG ela za kutosbiriki UCL na hii ni pigo kubwa kwao...
Edwards anatosha.
YNWA
Nunez the great
Majini waliyomtupia yameanza kuisha
From a doubter to a believer [emoji23][emoji23][emoji23]
Captain Marvelous na The MoNA walikuaambia sana lakini ulikuwa utaki kuelewa.
Tukiwaambia hivyo ni kwamba tumamaanisha! Tatizo la vijana mlioingia kwenye mpira karibuni ndilo hilo, ujuaji mwingi halafu mnahadithiwa na wachambuzi wenu feki waliojaa kwenye media.View attachment 2922982nimempa like na kukimbia
ndio Tatizo la kizazi Cha kina Edgar kibwanaTumeingiliwa sasa et ww kumbe unacho kiongea hukijui [emoji1787][emoji1787]
Mkuu majukumu ya Coady Gakpo ni yapi ? Na huwa anacheza namba ngapi ?