Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So Jumapili tupo na Manchester City Anfied....
Haya waleteee hakuna namna to be the best we beat the best..

YNWA
Hawa mamacita msiwaachie aisee. Mkishindwa kabisa kuwapiga basi waambulie ka sare . Actually sare ni nzuri kwetu Arsenal, especially kama tukishinda leo na jumamosi...ila potelea mbali, nyuka sana hao wahuni.
 
Come back vs Newcastle
Win vs Nottingham

Bado watamlaumu tu. Hapo bado hajakaa vizuri.
Goli la juzi japo amefunga ila la kubebwa tu
Sema siyo mbaya,Hata sisi tuliwahi kuumizwa na ujinga wa refa
 
Mane ndio kaisha kabisa, yaani mpira haupo tena mguuni
Neymar ana kitambi hadi cha kufutia ipad
 
Kinachowauma Chelsea siyo kufungwa na Liver
Bali kufungwa na liver iliyojaa watoto tupu
 
Sisemi kwamba hajui ila style yake dah

Unajua mpira burudani style yake hainiburudishi
Kama ambavyo style yake haikuburudishi
Vivyohivyo style ya Nunez kuna watu haiwabirudishi

Kwa hiyo hili ni suala la preference tu .
Unampenda Nunez/Diaz kuliko Gakpo, wengine twampenda Gakpo kuliko Nunez.
 
Huu uzi si walijaa marasta FC wakichabanga madomo yao mara ooh caesido sijui side tumemkosa
Oh mara eti tumewaiga Enzo,sisi tumeleta mkorea Endo ..tumebadili herufi kati
Blah blah kibao na madomo yao Sasahivi kiko wapi?!?
Siyo huyo side wala nani yake aliyetamba mbele ya watoto wetu akina Nyoni.
Mwanzoni mwa msimu comments za humu zilikuwa za kinyongenyonge ila sasa zimekuwa za kibabebabe.

Nadhani kila mtu angefurahi kuona kitu kinatokea kwenye ligi cha kufanya comments zirudi kama hapo awali, japo hata kwa mwezi tu.
 
mwamba nimekubali na nafasi ya Mos D nakupatia wewe

Hili ni li line-up la ushindi

Trent mzembe wa kukaba, mzuri wa kushambulia.

Bradley mzuri kote

Tuone kipara atapita wapi
 
Kama ambavyo style yake haikuburudishi
Vivyohivyo style ya Nunez kuna watu haiwabirudishi

Kwa hiyo hili ni suala la preference tu .
Unampenda Nunez/Diaz kuliko Gakpo, wengine twampenda Gakpo kuliko Nunez.
Ahahahah acha kunichekesha

Nunez anakimbia kumzidi Gakpo

Nunez anakaba kuliko Gakpo

Kwenye kufunga wakipewa muda sawa wanalingana

Mpaka hapo kwangu mimi Nunez akiwamo uwanjani huwa ananiburudisha sana kuliko Gakpo
 
Mwanzoni mwa msimu comments za humu zilikuwa za kinyongenyonge ila sasa zimekuwa za kibabebabe.

Nadhani kila mtu angefurahi kuona kitu kinatokea kwenye ligi cha kufanya comments zirudi kama hapo awali, japo hata kwa mwezi tu.

Nisalimie hamis77 mwambie nimekumbuka zile chambuzi zake za Ten Hag kuwa ni tapeli sasa nimeanza kuamini yule Kipara kama meza ya Kamari ni Tapeli kweli
 
Huyu hapa anaitwa Yvie Ryan πŸ˜„
 
Hawa mamacita msiwaachie aisee. Mkishindwa kabisa kuwapiga basi waambulie ka sare . Actually sare ni nzuri kwetu Arsenal, especially kama tukishinda leo na jumamosi...ila potelea mbali, nyuka sana hao wahuni.
🀣 🀣 🀣 Kuna kale kamsemo kila mmoja ashinde mechi zake lakin tulipofikia sasa kwa kuachana hizi pointi inafika mahala na kuombea wengine ukame wa ushindi na vipigo..
Tutacheza kusaka ushindi kadri tuwezavyo na Kipara nae atacheza kusaka ushindi hivyo na bahati iwe kwetu maana kumzuia kipara dakika 90+ sio powa kabisa unless wapigwe zaidi ya goli 2 ndio hua wanakosa majibu Anfield na ni kitambo sana hatujawaweza vyema Anfied hivyo waje itajulikana niaje niaje...

Wewe pambana ndugu kwa sasa una rhythm powa sana Rice naona ndio alikua missing link ya timu yake na he is worth every penny jamaa.

YNWA
 
Mimi nawapa advantage nyie kwa kweli.
Msiwaachie wapafanye Anfield kama sisi tulivyopafanya Stamford Bridge. Nawaaminia. Sisi hatuna beef na nyie. Hata mkibeba kikombe sisi kwetu poa tu.

Naona sasa tuko half-time na Sheffield na tunawaongoza 0-5. Itapendeza tukieaongezea ila itatuletea matatizo na timu zingine. Mechi zilizobaki timu zitagoma kuingia uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…