Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Klopp ndio mwamuzi wa mwishoWe said this against asses
Mpira ea keyboard ni rahisi sana
Hatimae Musialosky kaongezwa na yupo mwaka wa mwisho huu itakua mitihani wake wa mwisho huu kama anataka kuongezwa au aachwe mazimaNgoja kesho vijana wacheze tuone namna watakavyotoka maana hili pepo la majeruhi limetukaa mno mpaka hatari sanaaa.
Tukishaona kikosi waliowazima ndio tuone namna aisee.
Hawa wakicheza 4 3 3 dynamic tutakua salama na ushindi
Kelleher
Bradley Konate VVD Gomez
Domy Endo Mac
Salah Nunez Diaz
YNWA
Nimesikiliza pressers za Klopp kidogo, Arteta kidogo na Pep kidogo. Naona standards za maswali ni hovyo ila majibu ya managers ndiyo yanachangamsha.Journalist: "Mr Klopp, it's a pleasure to ask you a question."
Klopp: "Let's see if it's a pleasure to answer it." πππ
Klopp when asked about players ahead of City match:
βYou might be surprised, we donβt talk about line ups in this conference.β
Sometimes journalists huwa wanauliza tu provocative questions ili kupata headlines kwenye majibu ya makocha.Nimesikiliza pressers za Klopp kidogo, Arteta kidogo na Pep kidogo. Naona standards za maswali ni hovyo ila majibu ya managers ndiyo yanachangamsha.
Bado hao City wanafungika vizuri tu. Arsenal kwasasa inaonekana unstoppable lakini City wako so vulnerable wanafungika hao na team yoyote hata za bottom of the table.Man City wanawatumia Copenhagen kuwapiga biti liverpool
Kweli kabisa. Wahuni sana journalists wa mpira. Tushukuru tu mpira ni burudani isiyotakiwa kuchukuliwa seriously sana.Sometimes journalists huwa wanauliza tu provocative questions ili kupata headlines kwenye majibu ya makocha.
Ila wakikutana na makocha wanaojua psychology ya journalism huwa wanaambulia kuaibika.
Utadhani hatuchezi na Sparta Prague bhana. Klopp asituletee mzaha hapa aisee. Tuna mechi ngumu na Mamacita inafuata wikiendi.Hiki kikosi cha leo angeweka watoto tu
Naww sikuiz ni Liverpool? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utadhani hatuchezi na Sparta Prague bhana. Klopp asituletee mzaha hapa aisee. Tuna mechi ngumu na Mamacita inafuata wikiendi.
Tuna bonge la mechi na Mamacita jumapili bro πππNaww sikuiz ni Liverpool? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Livepool till Sunday.Naww sikuiz ni Liverpool? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amecheza mechi zake za karibuni kwa mpangilio Sanaa nimeona mechi ya united alivo wapelekea moto na jana kampumzisha mtu 6 kwa ajili ya hii mechi kazi tunayo.salah, szobo......
jumapili city ajipange, tutamchapa vibaya sana!