Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwanini asizuie vizuri tutoke na clean sheet hata kama hatukufanikiwa kufunga goli lolote.Na lile goli mlilopata ulikuwa ni ujinga wa Saliba na Raya kutegeana...mechi nzima hamjapata on target hata moja halafu mnamlaumu Alisson kwa lipi Sasa....kubalini tu kwmba mlipigwa Kabali ya mbao mkashindwa kufurukuta🤠🤠ðŸ¤
Ni heri tungetoka draw bila goli.