Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwanini asizuie vizuri tutoke na clean sheet hata kama hatukufanikiwa kufunga goli lolote.Na lile goli mlilopata ulikuwa ni ujinga wa Saliba na Raya kutegeana...mechi nzima hamjapata on target hata moja halafu mnamlaumu Alisson kwa lipi Sasa....kubalini tu kwmba mlipigwa Kabali ya mbao mkashindwa kufurukuta🤠🤠🤠
Huyu kibongo bongo hana tofauti na kina Alhmed Ally,Ally Kaamwe na ManaraBREAKING NEWS: Erling Haaland sends warning to Liverpool ahead of Sunday’s clash [emoji3544] [emoji2955]
'Scoring goals against Premier League Clubs is nothing to me. Imagine scoring hattrick against Liverpool when we play Sunday; that's when they'll realize they're average teams.' Man City Star Erling Haaland gives his thoughts on Liverpool's title challenge against Manchester City.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio Corona Fc wala Matumaini Hewa Fc atakae chukua Epl msimu huu.Nimeweka wazi mara nyingi humu kwamba sitaki tu Man City wachukue tena. Wapate upinzani kidogo, kama si sisi basi nyie. Wewe mwenyewe umeamua kufanya maneno yangu yamaanishe unavyotaka wewe. Saa zingine uliza usaidiwe siyo unaleta ujuaji [emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie mpigeni City na sisi tunaomba tukienda kwake tumpige pia. Ikiwa hivyo anadondosha point 6. Kama nyie mkishinda mechi zenu zote mnabeba. Mengine yakitokea mkadrop points sisi tukawapita na kubeba, fresh zaidi.
Kwa sasa inaonekana tuko watatu tunagombea hiki kikombe. Maana yake ni yeyote kati yetu anaweza kukibeba (mambo ya ajabu yakitokea, tunaweza kikosa hata wote na wanyuma wetu mmoja akakibeba), ila natamani asiwe City. Bora nyie.
Umeongea ukweli mwingi mno ila lazima matumaini yawepo. Huyu Kipara lazima adhibitiwe, hata kwa kushambuliwa. Nyie mliamua kumuachia ila sisi tunapaswa kumkazia. 😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio Corona Fc wala Matumaini Hewa Fc atakae chukua Epl msimu huu.
Pep ameshaigeuza Epl kua kama shamba la bibi, hio jumapili Mancity anaenda kufikisha points65 na kuongoza ligi huku zikiwa zimebaki mechi 10 tu ligi kuisha.
Uzuri wenyewe wote mnajua kua kipindi hiki Pep anakua tayari ameshafungulia Turbo haijalishi kama kuna mlima au mteremko mbele yake.
Inauma sana kuona Guardiola jinsi alivyoigeuza Epl kua Farmers League ila ndio hatuna jinsi, kilichobaki ni kumuomba tu na yeye afuate nyayo za Klopp ili walau na Epl nayo ipumue.
Goli la 1 ulitaka afanye nn...haya la 2 uzembe wake...na la 3 nalo ni tobo angefanya nn....halafu na sisi tusingefanya uzembe kale kagoli kenu ile mechi ingeisha 2 kwa mtungi ukitoa Boko la Alisson...kwhyo tunarudi palepale...mlipigwa ngumi ndoige majirani🤠🤠...jikazeni j2 msifanywe vbaya...maana za chinichini Guardiola anataka amuage Klopp kama alivyoagwa na Arteta pale Imarate🤠🤠Kwanini asizuie vizuri tutoke na clean sheet hata kama hatukufanikiwa kufunga goli lolote.
Ni heri tungetoka draw bila goli.
Walau Liverpool kidogo anaweza akaenda nae toe to toe ingawa kombe hatopata, ila nyie Arsenyau kila nikiangalia mechi zenu 7 za mwisho nabaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeongea ukweli mwingi mno ila lazima matumaini yawepo. Huyu Kipara lazima adhibitiwe, hata kwa kushambuliwa. Nyie mliamua kumuachia ila sisi tunapaswa kumkazia. 😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio Corona Fc wala Matumaini Hewa Fc atakae chukua Epl msimu huu.
Pep ameshaigeuza Epl kua kama shamba la bibi, hio jumapili Mancity anaenda kufikisha points65 na kuongoza ligi huku zikiwa zimebaki mechi 10 tu ligi kuisha.
Uzuri wenyewe wote mnajua kua kipindi hiki Pep anakua tayari ameshafungulia Turbo haijalishi kama kuna mlima au mteremko mbele yake.
Inauma sana kuona Guardiola jinsi alivyoigeuza Epl kua Farmers League ila ndio hatuna jinsi, kilichobaki ni kumuomba tu na yeye afuate nyayo za Klopp ili walau na Epl nayo ipumue.
Msitusemee sisi...kwny ushindani hakuna ushirikiano...hyo Henry 14 anawajaza tu🤠🤠...kwny nafsi yake anaomba j2 Ngoma isimame kati yy apite hapohapo katikati yenu...kikubwa nyny hakikisheni yule msanii wenu wa Egypt anakuwa fiti maana ndo kete yenu ya ushindi....Hawa wachezaji wengine hawana mapafu ya kwnda sawa na Kipara Pep....kama Nottingham waliwasumbua vile....mkikaa vbaya Kipara atawapaka mafutaWe jamaa timu yenu ishajifia na yule tapeli wenu 7Hag anawapeleka matoepeni basi mnaona kila mtu hawezi.
Hili kombe tunabeba mchana kweupee
Tusipobeba sisi wanaibeba wale tembo arse8
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uzuri Man Utd na ubovu wake wote lakini msimu ujao utaikuta na yenyewe ipo Uefa, hapo mi ndio hua mpaka naishangaa hii timu yangu aiseeee, yaani timu bovu na pira lake la papatu papatu lakini mwisho wa msimu lazima aungane na ma Giants wengine kwenye Uefa.We jamaa timu yenu ishajifia na yule tapeli wenu 7Hag anawapeleka matoepeni basi mnaona kila mtu hawezi.
Hili kombe tunabeba mchana kweupee
Tusipobeba sisi wanaibeba wale tembo arse8
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haaland kashawaambia tayari kuwa kichupa cha mafuta ya upako anacho yeye, anasubiria tu hio jumapili ifike aanze kuwapaka mmoja mmoja na kaweka wazi kua wa kwanza kupakwa atakua ni VVU aaahhh nimekosea ni VVD.Msitusemee sisi...kwny ushindani hakuna ushirikiano...hyo Henry 14 anawajaza tu[emoji1783][emoji1783]...kwny nafsi yake anaomba j2 Ngoma isimame kati yy apite hapohapo katikati yenu...kikubwa nyny hakikisheni yule msanii wenu wa Egypt anakuwa fiti maana ndo kete yenu ya ushindi....Hawa wachezaji wengine hawana mapafu ya kwnda sawa na Kipara Pep....kama Nottingham waliwasumbua vile....mkikaa vbaya Kipara atawapaka mafuta
Labda tuzingue sana kama kawaida yetu ila ni program laini sana hiyo. Tunatakiwa kuwa mabingwa kwenye mechi ya Tottenham hapo.Walau Liverpool kidogo anaweza akaenda nae toe to toe ingawa kombe hatopata, ila nyie Arsenyau kila nikiangalia mechi zenu 7 za mwisho nabaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2927948
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kwa Asani-nyau huyu ninaemjua mimi.Labda tuzingue sana kama kawaida yetu ila ni program laini sana hiyo. Tunatakiwa kuwa mabingwa kwenye mechi ya Tottenham hapo.
Zama zinapita. Mambo yanabadilika bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio kwa Asani-nyau huyu ninaemjua mimi.
Halafu nimeona Kuna habari beki kisiki ustaadh Ibrahima Konate amepata matatizo ya misuli kwny mechi Yao jana...Sasa mm binafsi naomba wampige hata ganzi hiyo j2 awepo maana asipokuwepo hatari itazidi kuwa kubwa...VVD anaonekana mzuri kwa sababu ya yule kijana...maana huwa yy anamtuma tu Konate kaba yule kimbia kule halafu yy anamalizia....Sasa kama ustaadh hayupo mtakuja kumlaumu bure Mr Captain bure🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haaland kashawaambia tayari kuwa kichupa cha mafuta ya upako anacho yeye, anasubiria tu hio jumapili ifike aanze kuwapaka mmoja mmoja na kaweka wazi kua wa kwanza kupakwa atakua ni VVU aaahhh nimekosea ni VVD.
Daah. Ndiyo maana jana sikutaka tuweke full mkoko vile. Ona sasa hatuna Konate.Halafu nimeona Kuna habari beki kisiki ustaadh Ibrahima Konate amepata matatizo ya misuli kwny mechi Yao jana...Sasa mm binafsi naomba wampige hata ganzi hiyo j2 awepo maana asipokuwepo hatari itazidi kuwa kubwa...VVD anaonekana mzuri kwa sababu ya yule kijana...maana huwa yy anamtuma tu Konate kaba yule kimbia kule halafu yy anamalizia....Sasa kama ustaadh hayupo mtakuja kumlaumu bure Mr Captain bure🤠🤠
Halafu nimeona Kuna habari beki kisiki ustaadh Ibrahima Konate amepata matatizo ya misuli kwny mechi Yao jana...Sasa mm binafsi naomba wampige hata ganzi hiyo j2 awepo maana asipokuwepo hatari itazidi kuwa kubwa...VVD anaonekana mzuri kwa sababu ya yule kijana...maana huwa yy anamtuma tu Konate kaba yule kimbia kule halafu yy anamalizia....Sasa kama ustaadh hayupo mtakuja kumlaumu bure Mr Captain bure[emoji1783][emoji1783]
ahahah duh nimepapenda hapo mwisho🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nipo my darling kua na amani kabisa... Hapa ni kunyanyua kwapa come Mei 2024. Kila mechi tangu January 2024 tumepata majibu na kutoka salama. Ile ya Ganaz ni bad day kazin hua zipo..
Klopp ashajua namna ya kuwapa molali vijana.. Anawaambia Simple play ua game dont lose the ball
YNWA
Hatimaye tumeingia top 10. Bado tunasafari ndefu kuwafikia Liverpool na United.
Mnaenda kutumbukiza jukwaa matopeni
Mnipe mimi kilaza ambaye sielewi chochote zaidi ya kuimba pambio tu😂
Jukwaa lako bwana Bobby,,unajua vile tunachanganyikiwa ukikosekana humu hata mwezi tu.